Nani wa kukufukuza? We Anza kujiondoa mwenyewe.Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.
Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
We mshindi.Bro nilikwambiaje??
Nasubili ivo vitendo uwanjani we mla sembeEndelea kukera kwa maneno, sisi tutakukera uwanjani kwa vitendo
Gurdiola mnene alikuwa anasafiria nyota ya mzungu . ukweli unajidhihiri sasaIla mwaka wa jana waliacha point zote 3 pale! Mwaka huu sijui wamejipanga vipi na yule Guardiola wao mnene.
Ashajidunga kitu cha mexico uyoMkuu unatumia ngada??? Mbona umeongea jambo la ajabu sana?? Yaani Timu imeondoka na alama Moja we unasema imeacha alama 3?? Kweli sembe sio zuri Kwa afya unaweza kuongea km kichaa
Waambie Simba wakuletee hata mchele,maana uliniwaambia 😀😀Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.
Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
Hii bila shaka ulitumia bidhaa za MuharamiKachambe kwanza basi, una kinyesi kwenye kyupi kyako
Ni lini Yanga alicheza Majaliwa Stadium na kupata hicho unachosema?Hata Yanga pale Majaliwa stadium waliacha points zote tatu kwa Namungo. Ashukuriwe Refa aliye wabeba
Liteja Hilo lina arosto.Achana naloMkuu unatumia ngada??? Mbona umeongea jambo la ajabu sana?? Yaani Timu imeondoka na alama Moja we unasema imeacha alama 3?? Kweli sembe sio zuri Kwa afya unaweza kuongea km kichaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naimimi nimelionaLiteja Hilo lina arosto.Achana nalo
Ndo hivyo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naimimi nimeliona