SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mimi navaa condom nikutana na vicheche kama wewe maana UTI nyingi sanaAcha umbeya utavalishwa dera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi navaa condom nikutana na vicheche kama wewe maana UTI nyingi sanaAcha umbeya utavalishwa dera
Kipigo kikubwa cha Dar derby ni Simba 6 Yanga 0. Zaidi ya hapo hakuna, ni uongo uongo𝗩𝗜𝗣𝗜𝗚𝗢 𝗩𝗜𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜
Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo:
FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938)
FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968)
⚽⚽ Maulid Dilunga 18' Pen, 43'
⚽⚽ Salehe Zimbwe 54', 89'
⚽ Kitwana Manara 86'
𝗠p𝗶𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗽𝗮𝗻𝗶:
Tarehe 3 Machi 1969:
Simba SC waligoma kurejea Uwanjani kipindi cha pili baada ya kufungwa (3-0). Yanga SC walipewa pointi (3) na mabao (3) mezani.
FT: Simba SC 6-0 Yanga SC (1977)
⚽ Selemani Sanga OG 20'
⚽⚽⚽ King Kibadeni 10', 42', 89'
⚽ ⚽Jumanne Masimenti 60'
𝗦𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗸𝗼𝗻𝗼:
Mwaka 1988, Yanga SC waliwasaidia watani zao Simba SC wasishuke daraja. Mchezo wa mwisho wa ligi kuu Yanga wakishinda wanatwaa Ubingwa, Simba wakisare au kupoteza wanashuka daraja. Yanga hawakumkaba kwa makusudi, Hamisi Shikamkono ili afunge goli Simba wasalie ligi kuu.
Shikamkono akafunga goli, Simba wakasalia ligi kuu na Yanga wakaukosa Ubingwa. Msimu huo Simba SC walikuwa na mgogoro mkubwa baina ya katibu mkuu, Jimmy David Ngonya na wazee wa klabu hiyo.
Mpaka sasa Simba na Yanga ndio klabu pekee ambazo hazijawahi kushuka daraja ligi kuu Tanzania tangu ianzishwe.
𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝘄𝗮𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘄𝗮𝗰𝗵𝗲𝘇𝗮𝗷𝗶 𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗦𝗖:
Mwaka 1998, Yanga SC waliazima wachezaj kutoka Simba SC ili waongeze nguvu kikosini kwao kwenye michuano ya CAF champions league ambapo Yanga ndio walikuwa klabu ya 1 East Africa kuingia group stage.
Wachezaji walioazimwa ni:
Zamani hawakuwa maadui 🙌
- Monja Liseki
- Shabani Ramadhani
- Alphonce Modest
FT: Simba SC 5-0 Yanga SC (2012)
⚽⚽ Emmanuel Okwi 2', 62'
⚽ Felix Sunzu (Penati) 56'
⚽ Juma Kaseja (Penati) 67
⚽ Patrick Mafisango (Penati) 72'
FT: Simba SC 1-5 Yanga SC (2023)
⚽️ Kibu Denis 🅰️ Ntibazonkiza 9'
⚽️ Musonda 🅰️ Yao 3'
⚽️ Nzengeli 🅰️ Aziz Ki 63'
⚽️ Stephanie Aziz Ki 🅰️ Mzize 73
⚽️ Maxi Nzengeli 🅰️ Mzize 77'
⚽️ Pacome (Penati) 86'
©Tom Cruz-Mchambuzi.
Hoja yako hii ni kama ile ya simba kufika fainali ya shirikisho 1993Aandike Sunderland basi..
Sio Simba....
Sasa ndiyo mlishwe supu ya ng'ombe kibudu jamani?Hii game ya juzi waliokula 5 tuliwaambia wachezaji mvua ya magoli ianze kipindi cha pili baada ya mapumziko,maana zile goli zingeanza half ya kwanza makolo wangekimbia wasinferudi baada ya half time
Na ww umeingia mkenge mtani...
Ni ya kubumba full stop....Hoja yako hii ni kama ile ya simba kufika fainali ya shirikisho 1993
je ile ni kombe la shirikisho au Abiola cup??
Kama kule mnakubali majina tofauti ila yote ni mashindano ya CAF na hapa hivyo hivyo
Yote ni Simba tofauti majina tu
Labda hoja uletwe ushahidi ikiwemo wafungaji
Unapingana na historia mkuu. Kipigo kikubwa ni 9 Yanga Simba 0.Kipigo kikubwa cha Dar derby ni Simba 6 Yanga 0. Zaidi ya hapo hakuna, ni uongo uongo
takwimu haziongopi mtaniNa ww umeingia mkenge mtani...
Tulikuwa tunaitwa QUEENS.Takwimu za kubumba...
1938 hakukua na timu inaitwa Simba...mkiwa waongo muwe na kumbukumbu....
Ni kawaida yetu kukimbia tukiona kuna kapu la magoli sababu tulishafanya kama mara 2 hivi hatukuingiza timu kipindi cha pili.Hii game ya juzi waliokula 5 tuliwaambia wachezaji mvua ya magoli ianze kipindi cha pili baada ya mapumziko,maana zile goli zingeanza half ya kwanza makolo wangekimbia wasinferudi baada ya half time
Haipooo....hahaa acheni kulazimisha vitu mtani..nyie bakini na hamsa yenu ya juzi...takwimu haziongopi mtani
Mwaka 1936 ilipoanzishwa iliitwa Queens ( yaani malikia ! )Tulikuwa tunaitwa QUEENS.
Sasa kama unakataa tunaposema Simba ilianzishwa mwaka 1936 ni uongo
Ha ha haIla Mzize bana alinitesea wale wazee.....
Kwa Africa ni mbali sana.Jana jumapili nilimsikia Mahmoud Zuberi wa Azam Tv anakataa kuhusu hiyo 9-0 akisema ni uongo hakuna rekodi hiyo.
Je kuna mwenye rekodi au kumbukumbu hiyo? Maana 1938 sio mbali kiivyo hadi rekodi zisiwepo.