Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Afu eti ilikuwa ligi inaitwa TPLTakwimu za kubumba...
1938 hakukua na timu inaitwa Simba...mkiwa waongo muwe na kumbukumbu....
UONGO NI SHIDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu eti ilikuwa ligi inaitwa TPLTakwimu za kubumba...
1938 hakukua na timu inaitwa Simba...mkiwa waongo muwe na kumbukumbu....
Hahaha umenichekesha kaka..mbuzi hazina data...nakuaminia,mdada mmoja Simba jike unatafuna vyura wote humu.
dadeki fa mchezo nini.
nalala nakuachia kazi tafuna hizi mbuzi.
hawana wanapayuka tu.Hahaha umenichekesha kaka..mbuzi hazina data...
Ukweli mtupu mjukuu wangu.𝗩𝗜𝗣𝗜𝗚𝗢 𝗩𝗜𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜
Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo:
FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938)
FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968)
⚽⚽ Maulid Dilunga 18' Pen, 43'
⚽⚽ Salehe Zimbwe 54', 89'
⚽ Kitwana Manara 86'
𝗠p𝗶𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗽𝗮𝗻𝗶:
Tarehe 3 Machi 1969:
Simba SC waligoma kurejea Uwanjani kipindi cha pili baada ya kufungwa (3-0). Yanga SC walipewa pointi (3) na mabao (3) mezani.
FT: Simba SC 6-0 Yanga SC (1977)
⚽ Selemani Sanga OG 20'
⚽⚽⚽ King Kibadeni 10', 42', 89'
⚽ ⚽Jumanne Masimenti 60'
𝗦𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗸𝗼𝗻𝗼:
Mwaka 1988, Yanga SC waliwasaidia watani zao Simba SC wasishuke daraja. Mchezo wa mwisho wa ligi kuu Yanga wakishinda wanatwaa Ubingwa, Simba wakisare au kupoteza wanashuka daraja. Yanga hawakumkaba kwa makusudi, Hamisi Shikamkono ili afunge goli Simba wasalie ligi kuu.
Shikamkono akafunga goli, Simba wakasalia ligi kuu na Yanga wakaukosa Ubingwa. Msimu huo Simba SC walikuwa na mgogoro mkubwa baina ya katibu mkuu, Jimmy David Ngonya na wazee wa klabu hiyo.
Mpaka sasa Simba na Yanga ndio klabu pekee ambazo hazijawahi kushuka daraja ligi kuu Tanzania tangu ianzishwe.
𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝘄𝗮𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘄𝗮𝗰𝗵𝗲𝘇𝗮𝗷𝗶 𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗦𝗖:
Mwaka 1998, Yanga SC waliazima wachezaj kutoka Simba SC ili waongeze nguvu kikosini kwao kwenye michuano ya CAF champions league ambapo Yanga ndio walikuwa klabu ya 1 East Africa kuingia group stage.
Wachezaji walioazimwa ni:
Zamani hawakuwa maadui 🙌
- Monja Liseki
- Shabani Ramadhani
- Alphonce Modest
FT: Simba SC 5-0 Yanga SC (2012)
⚽⚽ Emmanuel Okwi 2', 62'
⚽ Felix Sunzu (Penati) 56'
⚽ Juma Kaseja (Penati) 67
⚽ Patrick Mafisango (Penati) 72'
FT: Simba SC 1-5 Yanga SC (2023)
⚽️ Kibu Denis 🅰️ Ntibazonkiza 9'
⚽️ Musonda 🅰️ Yao 3'
⚽️ Nzengeli 🅰️ Aziz Ki 63'
⚽️ Stephanie Aziz Ki 🅰️ Mzize 73
⚽️ Maxi Nzengeli 🅰️ Mzize 77'
⚽️ Pacome (Penati) 86'
©Tom Cruz-Mchambuzi.View attachment 2812260
mwaka 38 nilikua na miaka 15 ni kweli. huyo zuberi ni mjukuu wa juzi.Jana jumapili nilimsikia Mahmoud Zuberi wa Azam Tv anakataa kuhusu hiyo 9-0 akisema ni uongo hakuna rekodi hiyo.
Je kuna mwenye rekodi au kumbukumbu hiyo? Maana 1938 sio mbali kiivyo hadi rekodi zisiwepo.
Safari hii watapigwa 12 kabisaUkweli mtupu mjukuu wangu.
Watani wa jadi watatoana roho doh