Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

Mbona sisi wenzako tumekubaliana na hizo takwimu zote!! Kwa nini wewe unapinga? Kwani hiyo timu iliyokuwa inaitwa Sunderland, si ndiyo hii hii simba ya sasa!!

Kubali basi ili twende pamoja.
Katika hizo 9-0 magoli alifunga nani na nani
 
unajua buana makolo yanajivunia rekodi ya magoli 6 bila, sawa,ngoja tuachane na magoli yetu yale 9 ya mwaka 1938 tuje kwenye rekodi ambazo hazizungumzwi sana, kale ka rekodi ketu ka kufunga goli 3 kipindi cha kwanza kisha makolo kipindi cha pili hayatokei, mala mbili tunafanya hivo, vipi mngekuwa mnatokea kpnd cha pili ktk mechi hzo...! au tuseme mna hyo rekodi ya ku2funga sita,lakini je ktk mechi zote tulizokutana tangu mkiitwa QUEEN mnatuzid magoli? hata kwenye idadi ya ushindi tulioupata dhidi yenu mnatupata? MZEE RAGE ajengewe sanamu pale posta
 
Ndio asili ya uswahili wetu, tunapenda sana kukuza mambo ambayo hata hayafai kukuzwa. Kuna muda tuige hata wamagharibi
Kwakweli aisee..najua kuna watu huko Yanga wanakwazika sana...maana haikutakiwa kumfunga Simba iwe story kubwa hivi...mngeona kawaida tuu...
 
Kwakweli aisee..najua kuna watu huko Yanga wanakwazika sana...maana haikutakiwa kumfunga Simba iwe story kubwa hivi...mngeona kawaida tuu...
Kwenye mpira ni kawaida sana ila wamegeuza story ya kumalizia nayo mwaka
 
Hiyo post ya simba kupigwa 9 nimeiona,kwa great thinker sidhani kama ni sahihi kuandaa uzi kuhusu hayo matokeo kwasababu ni kushusha ukubwa wa JF au lah basi ungeupeleka uzi huu kwenye jukwaa la vichekesho.

Hebu jiulize
1. 1938 kulikuwa na ligi kuu tz?maana ile post imeandikwa TPL yani Tanzania Premier League, miaka hiyo hatujawa tanzania bado,na wala hakukuwa na ligi kuu...
2. Imeandikwa Simba vs Yanga....miaka hiyo simba anaitwa sunderland
3. Wameweka logo ambazo zimebuniwa juzi tu hapo hasa ile ya simba
4. Miaka ya 1938 hakukuwa na technology ya kutengeneza post kama ile.

Kwa minajili hiyo,huu uzi haupaswi kuwa humu,bali upelekwe jukwaa la vichekesho.


SHUKRANI
 
Taarifa yako ina viashiria vya majini
 
Umetumia utaratibu wa kutaja majina ya wafungaji kwa mechi zote ,naomba utaratibu huo huo uendeleze kuorodhesha majina ya wafungaji wa hayo magoli 9 mwaka 1938.
 
Mananihii ya kale hayanuki; sisi tunaangalia miaka mitano iliyopita tu kujua nani aligusa mwiko akadungwa akagungwa sindano ya 5G na bado ananuka dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ