Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

Ukweli mtupu mjukuu wangu.
 
Jana jumapili nilimsikia Mahmoud Zuberi wa Azam Tv anakataa kuhusu hiyo 9-0 akisema ni uongo hakuna rekodi hiyo.

Je kuna mwenye rekodi au kumbukumbu hiyo? Maana 1938 sio mbali kiivyo hadi rekodi zisiwepo.
mwaka 38 nilikua na miaka 15 ni kweli. huyo zuberi ni mjukuu wa juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ