Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta wa kuangushiwa jumba Bovu nawashauri Simba kuingia Sokoni Kutafuta Capten mwenye experience ambaye atakuja kuokoa Jahazi
Simba tayari nimyonge kwa Yanga πSimba wamecheza vizuri tatizo nililoliona ni kupoteza mpira kilaisi wakitatua changamoto hiyo watakuwa vizuri.
Mkwala amebebeshwa mzigo mkubwa mno asikamie sana kwani inamsababishia kupoteza umakini.
Golikipa yupo vizuri sana.
Mechi ya ligi kuu kati ya simba na Yanga litakufa lijitu
Sawa mkuuZilikuwa nne leo mshukuruni refa na mshika kibendera,Captain hata angekuwa kiongozi leo msingetoka,kwani namba kumi hamna,kocha wenu labda aijenge timu kupitia mawinga.
Mshindi ndo unaandika paragraph yote hii?Mbona Kiongozi wa Simba Sasii na kibendera wake walikuwemo uwanjani Simba wakawa 13, unaongelea kiongozi Mangungo si alikuwepo pia?
Makolo mmetia aibu mnaharibu boli mpeni refa muamala wake haraka kwa kuitoa Yanga mchezoni na kuizima kasi yao mngekula tano leo!! Simba bado ni underdog kwa Yanga kajipangeni mje tena!!
Mtu karukiwa na miguu miwili mbele yake Sasii akajifanya hakuona, Kibendera kaona Aziz Ki anaenda kufunga akanyanyua kibendera chake! Aibu sana!! Nae apewe chake haraka!!
Kweli marefa bongo bado hawajakoma kuibeba Simba! Sasii aliamua liwalo na liwe!! faulo ni mali ya simba tu?! TFF mnalazimisha ushindani wa derby ambao haupo Yanga ni next level kwasasa labda Azam kidogo wanasumbua ila sio Simba ishawekwa mfukoni!!
Mtu kasukumwa akaanguka puu kwenye box la Simba bila aibu Sasii akajifanya haoni, Mbumbumbu FC mpeni refa bahasha yake haraka maana aliwabeba mno ila kolowizard hambebeki nyie msuli hamna kwa Yanga hii!!
Tatizo ni MangunguBaada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta wa kuangushiwa jumba Bovu nawashauri Simba kuingia Sokoni Kutafuta Capten mwenye experience ambaye atakuja kuokoa Jahazi
Viomgozi walivyo mang'ombe watachukua ushauri wako.Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta wa kuangushiwa jumba Bovu nawashauri Simba kuingia Sokoni Kutafuta Capten mwenye experience ambaye atakuja kuokoa Jahazi
Mmeanza, tulijua tu hamna subra makolokwinyo!!Hatumtaki Mangungu
Kila mtu ni mchambuzi siku hizi. Yaani kumbe timu huwa zinaingia sokoni kwenda kutafuta makapteni?... nawashauri Simba kuingia Sokoni Kutafuta Capten mwenye experience ambaye atakuja kuokoa Jahazi