Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta wa kuangushiwa jumba Bovu nawashauri Simba kuingia Sokoni Kutafuta Capten mwenye experience ambaye atakuja kuokoa Jahazi