kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa kibao.
Zawadi kubwa ya kuwapa Simba ni kuwaambia Bado kabisa badala ya kuwaambia Bado Wacha ya, Bado mnajipanga, Bado muunganiko, nk. Kumbukeni hata Robertihno alifarijiwa kwa maneno hayohayo ya timu kukosa muunganiko walipocheza vibaya ngao ya jamii.