Zimbwe, kibu, mzamiru na kapomne kama wakienda Yanga watachukua namba ya nani kwenye first eleven ya gamondi? Hebu ona defense ya Yanga ilivyochekechwa na akina pacome, nzengeli, dude, Aziz na mzize. Hebu ona forward ya Simba ilivyoshindwa kufanya lolote kwa Bacca, Yao, Job, Aucho, shida yao haikuwa muunganiko bali ubora wa Yanga ni mkubwa mno. Kama mkiendelea kusingizia muunganiko mtakuwa mnajidanganya wenyewe Tena, maana muunganiko huohuo ndio uliozifunga timu 4 zza APR na timu 3 huko Egypt wakati wa preseason, iweje muunganiko ushindwe kuifunga Yanga TU?