Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
piga kwenye mshono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unazungumzia kuacha watano? Sisi hata tukiacha wachezaji wote, bado Simba Sports Club itabakia. Nini wachezaji watano bwana!!!Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa kibao.
Zawadi kubwa ya kuwapa Simba ni kuwaambia Bado kabisa badala ya kuwaambia Bado Wacha ya, Bado mnajipanga, Bado muunganiko, nk. Kumbukeni hata Robertihno alifarijiwa kwa maneno hayohayo ya timu kukosa muunganiko walipocheza vibaya ngao ya jamii.
Azam wamenasa kwenye mtego usio wa kwao. Hizi 4 zilikuwa za Simba.Msimu mwingine wa maumivu kwa Simba, navyoiona Yanga inaenda kuvifunga tena vilabu vyote kwenye ligi ikiwa Simba tutashindwa kumfunga Yanga tusahau tena ubingwa ligi kuu
Kibu huyu huyu?Zimbwe mtoe humo weka kibu,mzamiru,kapombe,hawana hadho ya kuchezea simna
Wachambuzi wanasema sababu ni muunganiko bado, lakini kocha mkuu, Davids anasema anataka wachambuliaji wengine mbali na wale waliotambulishwa Simba day na waliocheza derby. Tumuamini nani?Msimu mwingine wa maumivu kwa Simba, navyoiona Yanga inaenda kuvifunga tena vilabu vyote kwenye ligi ikiwa Simba tutashindwa kumfunga Yanga tusahau tena ubingwa ligi kuu
Kama unaamini Simba atakua bingwa ngoja na Mimi naamini chadema watashinda uchaguzi mwakaniSimba ni timu nzuri sana!! Iko vizuri sana. Tatizo ni matarajio yasiyokuwa na uhalisia kwa mashabiki. Isilinganishwe na Yanga kwa sasa, ila nina uhakika msimu huu Simba itakuwa bingwa!! Baada ya mechi kadhaa za ligi kuu Simba itaimarika sana!! Itaanza kwa kushinda kila mechi kwa mbinde, baadaye itakuwa inashinda kwa uhakika na hatimaye itakuwa inashinda kwa kunyanyasa!!
Kwa hyo Ili Simba iwe Bora iifunge Yanga??Zimbwe, kibu, mzamiru na kapomne kama wakienda Yanga watachukua namba ya nani kwenye first eleven ya gamondi? Hebu ona defense ya Yanga ilivyochekechwa na akina pacome, nzengeli, dude, Aziz na mzize. Hebu ona forward ya Simba ilivyoshindwa kufanya lolote kwa Bacca, Yao, Job, Aucho, shida yao haikuwa muunganiko bali ubora wa Yanga ni mkubwa mno. Kama mkiendelea kusingizia muunganiko mtakuwa mnajidanganya wenyewe Tena, maana muunganiko huohuo ndio uliozifunga timu 4 zza APR na timu 3 huko Egypt wakati wa preseason, iweje muunganiko ushindwe kuifunga Yanga TU?
Simba haiko vizuri kwenye usajili: Israh Mwenda, Kibu, Awesu, Valentino Mashaka, Kagoma, Mukwala, Lawi na hata kocha huyu siye kaaabisa; hamfikii Mgunga by far. Hii Haiwezi kuwa bahati mbaya kiasi hiki. Mwekezaji, mwenyekiti na kamati zote sio, badilisheni ili Yanga ipate ushindani wa haki na kweli.
Yanga wamekitabaruku tayari kwenye ngao hiki kikosi kipya, na hii ndiyo chanzo cha kuwaacha hata wale ambao walienda preseason na kutambulishwa kama wachezaji wa msimu huu.Wewe unazungumzia kuacha watano? Sisi hata tukiacha wachezaji wote, bado Simba Sports Club itabakia. Nini wachezaji watano bwana!!!