Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa kibao.

Zawadi kubwa ya kuwapa Simba ni kuwaambia Bado kabisa badala ya kuwaambia Bado Wacha ya, Bado mnajipanga, Bado muunganiko, nk. Kumbukeni hata Robertihno alifarijiwa kwa maneno hayohayo ya timu kukosa muunganiko walipocheza vibaya ngao ya jamii.
Na mechi dhidi ya Yanga si kipimo kizuri kwamba sasa team iko vizuri. Wachezaji wanaweza kuvuja jasho pa damu kwa sababu ni Derby inayobeba furaha ya mashabiki. Kipimo kizuri tutaona mechi kumi za mwanzo.
 
Tatizo mnawekeza furaha yenu kwenye masikitiko ya Simba.
Hapana sio hivyo, kama mkitaka kujua tatizo la Simba liko wapi badilisheni uongozi kwanza. Yanga ina wachezaji wa kawaida TU lakini ina uongozi bora.
 
Fuvu lako limebeba mchanga badala ya akili
Maana ya ubayaaaa ubwelaaaaa ni kwamba timu imeiva tayari kwa kutoa ubaya. Ghafla mnasema muunganiko Bado. Mafuvu yenu yamejaa ukoko
 
Hapana sio hivyo, kama mkitaka kujua tatizo la Simba liko wapi badilisheni uongozi kwanza. Yanga ina wachezaji wa kawaida TU lakini ina uongozi bora.
Wewe ni shabiki wa Yanga?
 
S
Wewe ni shabiki wa Yanga?
Siongei kama shabiki wa timu bali kama mtu wa mpira. Simba na Yanga ni tunu zetu. Unaweza kuwa shabiki wa Yanga lakini mkeo, watoto na baba Yako wakawa Simba. Tuuchambue mpira bila kuchanganya na hisia za timu zetu. Nachukia mtu anaewaaminisha watu uongo, namfananisha na kinjekitile aliewaaminisha askari wake kuwa risasi za adui zitegeuka maji.
 
Kibu kaliliwa arudi wakati ni mchezaji wa hadhi ya kawaida kwa timu kubwa. Mayele alitaka kuondoka hakuna aliyelia, au leo Mzize atake kuondoka Yanga walielie kwamba ni mchezaji mkubwa wa muhimu sana.

Uongozi na umiliki wa timu hawako serious kwenye usajiri. Kwa sasa ni mapema ila vilio vinakuja.
 
Wamemsajili kibu kuogopa ataenda Yanga kumbe Yanga hawakuwa na mpango nae. Simba wanateswa na kivuli cha Yanga TU baasi. Jobe ni Bora kuliko mutare. Sema TU shabiki na uongozi waliua confidence yake.
 
Duh!!ukisikia kuna madubuwasha dunia ndio hii sasa kwenye thread ya jamaa
Kaka mwanao mng'oe meno yaliyolegea kabla hayajaoteana na kuharibu shape ya kinywa. Timu tumeipeleka preseason Ismailia Misri kwa kazi ya kutengeneza muunganiko, ikacheza mechi nne zote imeshinda hadi mkaja na ubayaaaa ubwelaaaaa. Kufungwa na Yanga sababu sababu haiwezi kuwa muunganiko tena, hiyo ndiyo timu yenu mbele ya Yanga msimu huu.
 
Sio kila ukipata ki wazo chako cha kijinga kichwani unakuja mbio kuanzisha thread...
Ukiona madam ni ndogo kuliko ww unapita TU kulee.. Hoja hapa ni je, Simba bado haina muunganiko inapocheza na Yanga TU na sio inapocheza na APR, Al-Andallah, Al-mo na al-mangungu kule Egypt?
 
Kama Kapombe, Mzamiru Zimbwe, Koblan na Kibu Bado wanaonekana kwenye first eleven ya kocha ujue Kuna shida ya usajili tayari ya wachezaji wapya. take my words
Wachezaji watatu waliosajiri hadi sasa hawawezi kuwatumia sbb ya chupli chupli ktk usajiri. Simba malizeni mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu ili chupli ziishe. Ushauri tu.
 
Miyanga inaruka na kukanyagana,inalilia migoli ya ofusaidi,na badoo
 
Zimbwe, kibu, mzamiru na kapomne kama wakienda Yanga watachukua namba ya nani kwenye first eleven ya gamondi? Hebu ona defense ya Yanga ilivyochekechwa na akina pacome, nzengeli, dude, Aziz na mzize. Hebu ona forward ya Simba ilivyoshindwa kufanya lolote kwa Bacca, Yao, Job, Aucho, shida yao haikuwa muunganiko bali ubora wa Yanga ni mkubwa mno. Kama mkiendelea kusingizia muunganiko mtakuwa mnajidanganya wenyewe Tena, maana muunganiko huohuo ndio uliozifunga timu 4 zza APR na timu 3 huko Egypt wakati wa preseason, iweje muunganiko ushindwe kuifunga Yanga TU?
Mlisema mkude , Chama na baleke hawawezi pata namba Yanga lakini mkawasajil na wanapata namba.
 
Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa kibao.

Zawadi kubwa ya kuwapa Simba ni kuwaambia Bado kabisa badala ya kuwaambia Bado Wacha ya, Bado mnajipanga, Bado muunganiko, nk. Kumbukeni hata Robertihno alifarijiwa kwa maneno hayohayo ya timu kukosa muunganiko walipocheza vibaya ngao ya jamii.
tuwe wakweli wamecheza vizuri, ila simba bado ina wachezaji mizigo, kapombe fred kibu,mzamiru. Hawa watawarudisha nyuma
 
Ni akili mbovu kudhani timu ya Simba msimu uliopita ilikuwa mbovu, walifanya makosa kuivunja timu na kuwafukuza wachezaji ambao waliifikisha timu na kucheza robo final ya caf championship na kwenda kusajili wachezaji ambao hawajawahi kucheza hata makundi mashindano ya CAF. Ni timu ngapi Afrika ambazo hazikufika robo final CAF championship hadi waone kuwa timu yao ni mbovu? Akili mbovu TU za kukataa kukili kuwa timu yao haikuwa mbovu ila Yanga ilikuwa Bora sana?

Walipaswa kujua kuwa timu ya
Ni kweli simba haikuwa mbovu na siyo kwamba ilifungwa na Yanga sababu ya ubovu ila ilionekana mbovu sababu ya wachezaji wasaliti hakina chama , baleke , Inonga na baadhi ya viongozi.

Ndiyo Maana simba wakaona isiwe tabu wakaamua kuanza upya kwa kuachana na hilo kundi la wasaliti.

Ni vema kupigana vita ukiwa peke yako kuliko kuwa na kundi kubwa la wapiganaji huku ndani yake kuna wasaliti ,mtaangamia .
 
Mnatafuta maneno matamu yanafariji mashabiki, viongozi na wachezaji wenu ambayo hayana uhalisia. Mnajidanganya wenyewe, mara ubaya ubwela mara timu changa mara tunatengeza timu. Kama mnajua timu Bado inajengwa kwanini mje na ubaya ubwela? Si mngesubiri kwanza muunganiko kwanza ndiyo mje na ubaya ubwela?

Niwaongo, kama mnajua kuwa mnajenga timu mpya basi msingekuwa na haja ya kucheza gizani mechi zote za preseason.
Kuwa mwanaume!
 
Back
Top Bottom