May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu Pinzani ya Uto.
Huwa nakunja vidole(cross fingers) kila mara anapozungumza Bw Ahmed Ally kwa kutamani amalize maongezi yake bila kuweka kijembe chochote kisicho na msingi.
Hivyo ninasahuri Ahmed awe tu anajikita kwenye mambo muhimu na ya msingi ya club na suala la kujibizana na Haji au kutoa vijembe vya hapa na pale basi kazi hiyo ifanywe na Mtu mwingine.
Kwa hilo basi Bw Mwijaku aweza kuwa "Msema Utumbo" rasmi wa Club kwa ajili ya kutekeleza jukumu hilo.
Ni dhahiri Bw huyo hana ufahamu wa kutosha wa mambo ya Mpira ukimlinganisha na yule Mwenzake wa Uto, hivyo wanachopaswa kufanya Simba ni kutumia Wajuzi wa mambo kuwa wanamuandalia script ya yale mambo muhimu yanayohitaji kufanya rejea....maana bila hivyo mjiandae kusikia akisema mwaka fulani wakati Golikipa wa Simba akiwa Hamisi Kinye n.k...sasa ili kuepusha hayo aandaliwe script alafu kule kunakobaki sasa kwa kuwachamba kina Mayele and co ndio afanye free style zake maana uwezo huo kikukweli Mtu yule amejaaliwa.
Ahmedy aachane kabisa na vijembe maana hapendezi kabisa.