Nilikuwa namsikiliza juzi anavyoidadavua penati ya Mayele, kweli kuna Watu wanajua ukuda unaweza hata kurusha ngumi.
Eti viatu vya Mayele vilivaliwa na Mtu akauwa nyota yake na hatofunga tena...sasa hayo ndio ninayoyazungumzia mimi, hizi chagizo tuziendeleze tu ni burudani na hazina madhara.