Nina wasiwasi hizi timu zitakazomaliza mechi zake nyumbani ndizo zitafuzu Mnyama na Red devilsAl ahly 7
Simba 6
Soura 5
Vital 4
Bado game 2 kwa kila timu .home and away... Simba tunaenda kwa Js Soura then tunamaliza na Vital club kwa mchina.
Al ahly anaenda congo kwa Vital then anarudi home kumaliza na Soura.
Yes we can
Kuhusu TPL Vipi mtazamo wako mkuu ?? Tuna game 20 mbele wenzetu wanazo 13 , Ubingwa tutautetea au tutakata Pumzi ?!!
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiongeza na Fomu ya Zana Coulibaly Kule pembeni...
Weka akiba ya maneno..Muulize mwenzio aliowahita Simba underdog sasa Dog kawa yeye...Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dauda sasa hv anabinya makende ili ubashiri wake utimieWeka akiba ya maneno..Muulize mwenzio aliowahita Simba underdog sasa Dog kawa yeye...
Ubingwa tutautetea ila upinzani utakua mkubwa ujue hi ratiba ya AFCON u-17 pale uwanja wa taifa utatuharibia kutufanya mechi za nyumbani kuchezea nje ya DSM nadhani Simba wanaweza kuchagua Dodoma Sasa kwa hili litakua gumu kweli ila ubingwa tutautetea angalau tutapata upinzani...na tuombe Mungu mechi na As Vita ichezwe taifa kwani uwanja wanaweza kufunga kwaajili ya maandalizi...ila kwa ratiba yetu tukimaliza na stand tutacheza mechi Kama 8 mfululizo nyumbani halafu tutatoka 6 mfululizo ugenini..kwaio ratiba ni ngumu inatakiwa kukaza kweli ila kikosi kizuri na hatuchagui uwanja wa kushinda kwaio tutatetea ubingwa wetuKuhusu TPL Vipi mtazamo wako mkuu ?? Tuna game 20 mbele wenzetu wanazo 13 , Ubingwa tutautetea au tutakata Pumzi ?!!
Kabisa ila kule kushoto pasua kichwa angalau Mohamed Hussein mechi hizi mbili tatu za Yanga na Al Ahly kacheza Kama professional anafika kwa wakati akicheza ivyo na kuzidisha kiwango kule Algeria Mambo yatakua mazuri...ila pia kocha anaweza aka gamble kumchezesha bukaba pembeni namba tatu akabaki nyuma tuu Kama Mohamed Hussein hatokua katika ubora.Ukiongeza na Fomu ya Zana Coulibaly Kule pembeni...
Wachezaji wa Simba hapa ndio tunataka watuonyeshe kwamba Soka ni maisha yao.
Kwa ratiba hii na kikosi chetu inabidi tuonyeshe upana wa kikosi chetu.. ukizingatia mechi ziko karibu karibuUbingwa tutautetea ila upinzani utakua mkubwa ujue hi ratiba ya AFCON u-17 pale uwanja wa taifa utatuharibia kutufanya mechi za nyumbani kuchezea nje ya DSM nadhani Simba wanaweza kuchagua Dodoma Sasa kwa hili litakua gumu kweli ila ubingwa tutautetea angalau tutapata upinzani...na tuombe Mungu mechi na As Vita ichezwe taifa kwani uwanja wanaweza kufunga kwaajili ya maandalizi...ila kwa ratiba yetu tukimaliza na stand tutacheza mechi Kama 8 mfululizo nyumbani halafu tutatoka 6 mfululizo ugenini..kwaio ratiba ni ngumu inatakiwa kukaza kweli ila kikosi kizuri na hatuchagui uwanja wa kushinda kwaio tutatetea ubingwa wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimbwe yuko poa.. ila aongeze tu ushapu na nguvu.Kabisa ila kule kushoto pasua kichwa angalau Mohamed Hussein mechi hizi mbili tatu za Yanga na Al Ahly kacheza Kama professional anafika kwa wakati akicheza ivyo na kuzidisha kiwango kule Algeria Mambo yatakua mazuri...ila pia kocha anaweza aka gamble kumchezesha bukaba pembeni namba tatu akabaki nyuma tuu Kama Mohamed Hussein hatokua katika ubora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Al Ahly mechi ya kufungwa ilikuwa moja tu. Kule anadroo.Km As Vita anamfunga Al ahly Kinshasa, basi ujue atakuja dar kwa nguvu zote ,na mechi itakua ngumu
Hy mechi itakua mshike mshike haswa
MTC | 101| [emoji769]
We shoga hujajifungua tu mimba ya watoto sita hiyo we ulidhani utazaa watatu.Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume kuwa na kiherehere sio pouwa kabisa ona sasa ulivyojiaibisha wewe mambo ya cmba yanakuhusu nini badala ya kubuni namna ya kujiingizia kipato ili uongeze mchango wako kwa ombaomba fc we unabaki kushaladia mambo ya jirani yakoSimba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa comment hii 😂😂Simba anatangazwa kuingia robo kulekule Algeria. Anampiga Soura kimoja dwiii cha Kagere
Kabaki kuvimbiana mashavu tu kama anapuliza motoWeka akiba ya maneno..Muulize mwenzio aliowahita Simba underdog sasa Dog kawa yeye...
Simba anatangazwa kuingia robo kulekule Algeria. Anampiga Soura kimoja dwiii cha Kagere