Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Nina wasiwasi hizi timu zitakazomaliza mechi zake nyumbani ndizo zitafuzu Mnyama na Red devilsAl ahly 7
Simba 6
Soura 5
Vital 4
Bado game 2 kwa kila timu .home and away... Simba tunaenda kwa Js Soura then tunamaliza na Vital club kwa mchina.
Al ahly anaenda congo kwa Vital then anarudi home kumaliza na Soura.
Yes we can