Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Al ahly 7
Simba 6
Soura 5
Vital 4
Bado game 2 kwa kila timu .home and away... Simba tunaenda kwa Js Soura then tunamaliza na Vital club kwa mchina.
Al ahly anaenda congo kwa Vital then anarudi home kumaliza na Soura.
Yes we can
Nina wasiwasi hizi timu zitakazomaliza mechi zake nyumbani ndizo zitafuzu Mnyama na Red devils
 
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mpaka leo wana point ngapi vile?
 
Weka akiba ya maneno..Muulize mwenzio aliowahita Simba underdog sasa Dog kawa yeye...
 
Kuhusu TPL Vipi mtazamo wako mkuu ?? Tuna game 20 mbele wenzetu wanazo 13 , Ubingwa tutautetea au tutakata Pumzi ?!!
Ubingwa tutautetea ila upinzani utakua mkubwa ujue hi ratiba ya AFCON u-17 pale uwanja wa taifa utatuharibia kutufanya mechi za nyumbani kuchezea nje ya DSM nadhani Simba wanaweza kuchagua Dodoma Sasa kwa hili litakua gumu kweli ila ubingwa tutautetea angalau tutapata upinzani...na tuombe Mungu mechi na As Vita ichezwe taifa kwani uwanja wanaweza kufunga kwaajili ya maandalizi...ila kwa ratiba yetu tukimaliza na stand tutacheza mechi Kama 8 mfululizo nyumbani halafu tutatoka 6 mfululizo ugenini..kwaio ratiba ni ngumu inatakiwa kukaza kweli ila kikosi kizuri na hatuchagui uwanja wa kushinda kwaio tutatetea ubingwa wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiongeza na Fomu ya Zana Coulibaly Kule pembeni...
Wachezaji wa Simba hapa ndio tunataka watuonyeshe kwamba Soka ni maisha yao.
Kabisa ila kule kushoto pasua kichwa angalau Mohamed Hussein mechi hizi mbili tatu za Yanga na Al Ahly kacheza Kama professional anafika kwa wakati akicheza ivyo na kuzidisha kiwango kule Algeria Mambo yatakua mazuri...ila pia kocha anaweza aka gamble kumchezesha bukaba pembeni namba tatu akabaki nyuma tuu Kama Mohamed Hussein hatokua katika ubora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubingwa tutautetea ila upinzani utakua mkubwa ujue hi ratiba ya AFCON u-17 pale uwanja wa taifa utatuharibia kutufanya mechi za nyumbani kuchezea nje ya DSM nadhani Simba wanaweza kuchagua Dodoma Sasa kwa hili litakua gumu kweli ila ubingwa tutautetea angalau tutapata upinzani...na tuombe Mungu mechi na As Vita ichezwe taifa kwani uwanja wanaweza kufunga kwaajili ya maandalizi...ila kwa ratiba yetu tukimaliza na stand tutacheza mechi Kama 8 mfululizo nyumbani halafu tutatoka 6 mfululizo ugenini..kwaio ratiba ni ngumu inatakiwa kukaza kweli ila kikosi kizuri na hatuchagui uwanja wa kushinda kwaio tutatetea ubingwa wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ratiba hii na kikosi chetu inabidi tuonyeshe upana wa kikosi chetu.. ukizingatia mechi ziko karibu karibu
 
Kabisa ila kule kushoto pasua kichwa angalau Mohamed Hussein mechi hizi mbili tatu za Yanga na Al Ahly kacheza Kama professional anafika kwa wakati akicheza ivyo na kuzidisha kiwango kule Algeria Mambo yatakua mazuri...ila pia kocha anaweza aka gamble kumchezesha bukaba pembeni namba tatu akabaki nyuma tuu Kama Mohamed Hussein hatokua katika ubora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zimbwe yuko poa.. ila aongeze tu ushapu na nguvu.
 
Yanga bana yaani wanamwobea simba dua la kuku! Tehe tehe. Simba iyooooo robo fainali. Endeleeni kuiombea simba mabaya.
 
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
We shoga hujajifungua tu mimba ya watoto sita hiyo we ulidhani utazaa watatu.
 
Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume kuwa na kiherehere sio pouwa kabisa ona sasa ulivyojiaibisha wewe mambo ya cmba yanakuhusu nini badala ya kubuni namna ya kujiingizia kipato ili uongeze mchango wako kwa ombaomba fc we unabaki kushaladia mambo ya jirani yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom