Simba itashinda mchezo wa jumamosi kama watakuwa makini Dakika za mwisho wa mchezo

Simba itashinda mchezo wa jumamosi kama watakuwa makini Dakika za mwisho wa mchezo

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,096
Reaction score
1,909
Matokeo ya mchezo wa jumamosi yashatoka, Simba Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii game ya jumamosi.
Mambo yanaweza tu kubadilika endapo Simba hawatoongeza umakini hasa kuanzia dakika ya 70.
All in all nawatakia Kila la heri Simba Sc.
 
Back
Top Bottom