Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha unaoweza kusababisha tukapigwa magoli ya aibu.
Huwezi kucheza makundi na wachezaji kama Bocco, Kibu, Kapama, Kyombo, Onyango, Mzamiru, Gadiel, Mwanuke, Akpan, Okwa, Mkude, Nyoni, Outarra na ukategemea matokeo mazuri.