ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hiyo nafasi ya 13 halafu azam anakufunga!Unaleta ushabiki sana kuliko uhalisia, Simba yuko nafasi ya 13 kwenye rank za shirikisho la mpira Africa hii si kwa bahati, bali kwa mikakati na juhudi za team kwa miaka kadhaa. Kwenye mpira pia kuna nyakati ngumu pia, lakini pia siwezi Sema kuwa Simba ipo katika nyakati ngumu sababu ya Kudrow tu.
Ni kweli Simba ina changamoto ya quality players kwenye kikosi chake pamoja na bench la ufundi lkn si kweli kwamba ni team unayoweza kubeza kama unavyodai.
Hiyo nafasi ya 13 mbeya city una draw nae yeye wa nafasi ya 340....
Huoni kuwa kuna tatizo katika hizo rankings?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app