Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,018
Acha kuishi nyakati za nyuma mzee ishi sasa... Hiyo Simba ya kina Miqsoinne ilikuwa inafungwa mbona sana tu na draw za kutosha au umesahau? Usiwe "plastic fan" ..... in fact kama utalinganisha na misimu mitatu nyuma Simba hii ina wastani mzuri wa magoli ushindi.Timu inaifunga Ihefu kagoli kamoja tena ka taabu na wako Kwa Mkapa Mkapa ingekua Simba ya kina Miquissoine si Ihefu mpaka half time angeshakula hata 5 akisubiri 5+ zingine 2nd half?
Mbeya City leo angekua amekoswa koswa sana basi japo 3. Ile Simba ambayo Yanga Yanga akipata droo anashangilia.
Ukweli ni kwamba team ina mapungufu kadhaa kdg upande wa wachezaji na benchi la ufundi tu.
Shida kubwa niionayo ni kuwa kocha hana mbinu na hawezi Soma mchezo. Kuna muda mbinu za kocha husaidia hata wachezaji ndani kufanya vyema hata kama wana quality ya chini. Kocha Mgunda anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji, wachezaji key wakishikwa huwaga hanaga mbinu mbadala. Mfano leo inamtoa Okra unamuingiza Kibu wa nn sasa.