Maskini.. ngoja watoke kwenye kikao watakuja kukujibuMwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha unaoweza kusababisha tukapigwa magoli ya aibu.
Huwezi kucheza makundi na wachezaji kama Bocco, Kibu, Kapama, Kyombo, Onyango, Mzamiru, Gadiel, Mwanuke, Akpan, Okwa, Mkude, Nyoni, Outarra na ukategemea matokeo mazuri.
Huu ni mwanzo tu, aibu kamili ni mwez wa pili makundi klabu bingwaTATIZO Mo anajidai sana mala asuse mala arudi.
Hayupo serious.
Kama Hataki aondoke tu.
Maana ni aibu
Mimi nilishasema humu simba ni timu ya kawaida sana haina ubora ambao mashabiki wanafikiri timu yao inao ligi ya ngumbani wanazifunga timu mbovu tu na kule caf walipitia njia nyepesi sana endapo yanga angepangwa na big bullets au agosto alikua anaenda group stage tena kwa tofauti ya goli nyingi tu ila simba asingeweza kupita kwa al hilal au club africain tafsiri shida wanasimba ni wabishiMwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha unaoweza kusababisha tukapigwa magoli ya aibu.
Huwezi kucheza makundi na wachezaji kama Bocco, Kibu, Kapama, Kyombo, Onyango, Mzamiru, Gadiel, Mwanuke, Akpan, Okwa, Mkude, Nyoni, Outarra na ukategemea matokeo mazuri.
Unaleta ushabiki sana kuliko uhalisia, Simba yuko nafasi ya 13 kwenye rank za shirikisho la mpira Africa hii si kwa bahati, bali kwa mikakati na juhudi za team kwa miaka kadhaa. Kwenye mpira pia kuna nyakati ngumu pia, lakini pia siwezi Sema kuwa Simba ipo katika nyakati ngumu sababu ya Kudrow tu.Mimi nilishasema humu simba ni timu ya kawaida sana haina ubora ambao mashabiki wanafikiri timu yao inao ligi ya ngumbani wanazifunga timu mbovu tu na kule caf walipitia njia nyepesi sana endapo yanga angepangwa na big bullets au agosto alikua anaenda group stage tena kwa tofauti ya goli nyingi tu ila simba asingeweza kupita kwa al hilal au club africain tafsiri shida wanasimba ni wabishi
Aiseee umekuja kimtego sanaMwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha unaoweza kusababisha tukapigwa magoli ya aibu.
Huwezi kucheza makundi na wachezaji kama Bocco, Kibu, Kapama, Kyombo, Onyango, Mzamiru, Gadiel, Mwanuke, Akpan, Okwa, Mkude, Nyoni, Outarra na ukategemea matokeo mazuri.
Babu hii timu ni mbovu bila kumumunya manenoUnaleta ushabiki sana kuliko uhalisia, Simba yuko nafasi ya 13 kwenye rank za shirikisho la mpira Africa hii si kwa bahati, bali kwa mikakati na juhudi za team kwa miaka kadhaa. Kwenye mpira pia kuna nyakati ngumu pia, lakini pia siwezi Sema kuwa Simba ipo katika nyakati ngumu sababu ya Kudrow tu.
Ni kweli Simba ina changamoto ya quality players kwenye kikosi chake pamoja na bench la ufundi lkn si kweli kwamba ni team unayoweza kubeza kama unavyodai.
Sawa endeleeni kujipa moyo ila ukweli unaonekana uwanjani mzee soka sio sexy kusema mnafanya wawili tu na inabaki siri yenu chumbaniUnaleta ushabiki sana kuliko uhalisia, Simba yuko nafasi ya 13 kwenye rank za shirikisho la mpira Africa hii si kwa bahati, bali kwa mikakati na juhudi za team kwa miaka kadhaa. Kwenye mpira pia kuna nyakati ngumu pia, lakini pia siwezi Sema kuwa Simba ipo katika nyakati ngumu sababu ya Kudrow tu.
Ni kweli Simba ina changamoto ya quality players kwenye kikosi chake pamoja na bench la ufundi lkn si kweli kwamba ni team unayoweza kubeza kama unavyodai.
Hawataki kukubali ukweli wamekazania caf wakati wameingia group stage kwa kuzifunga timu mbovu uyo agosto msimu jana tu alipigwa goli 6 na namungoBabu hii timu ni mbovu bila kumumunya maneno
Team mbovu inaweza kuongeza kwa idadi ya magoli na kuruhusu kufungwa magoli machache? Au wewe unapimaje ubora wa team. Ofcourse kina maeneo ya kufanyia kazi, shida ya Simba misimu hii miwili inakosa kikosi chenye quality players, kwamba akitoka mtu anaingia mtu.Babu hii timu ni mbovu bila kumumunya maneno
Shabiki mwingine wa simba ambaye hayupo kwenye lile kundi la wale mbumbumbu.Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha unaoweza kusababisha tukapigwa magoli ya aibu.
Huwezi kucheza makundi na wachezaji kama Bocco, Kibu, Kapama, Kyombo, Onyango, Mzamiru, Gadiel, Mwanuke, Akpan, Okwa, Mkude, Nyoni, Outarra na ukategemea matokeo mazuri.
Mkiendelea na mawazo haya ya kujidanganya mna timu nzuri, ipo siku mtaumbuka zaidi.Unaleta ushabiki sana kuliko uhalisia, Simba yuko nafasi ya 13 kwenye rank za shirikisho la mpira Africa hii si kwa bahati, bali kwa mikakati na juhudi za team kwa miaka kadhaa. Kwenye mpira pia kuna nyakati ngumu pia, lakini pia siwezi Sema kuwa Simba ipo katika nyakati ngumu sababu ya Kudrow tu.
Ni kweli Simba ina changamoto ya quality players kwenye kikosi chake pamoja na bench la ufundi lkn si kweli kwamba ni team unayoweza kubeza kama unavyodai.
Umesahau kusema upo umekaa wapi.
Timu inaifunga Ihefu kagoli kamoja tena ka taabu na wako Kwa Mkapa Mkapa ingekua Simba ya kina Miquissoine si Ihefu mpaka half time angeshakula hata 5 akisubiri 5+ zingine 2nd half?Unaleta ushabiki sana kuliko uhalisia, Simba yuko nafasi ya 13 kwenye rank za shirikisho la mpira Africa hii si kwa bahati, bali kwa mikakati na juhudi za team kwa miaka kadhaa. Kwenye mpira pia kuna nyakati ngumu pia, lakini pia siwezi Sema kuwa Simba ipo katika nyakati ngumu sababu ya Kudrow tu.
Ni kweli Simba ina changamoto ya quality players kwenye kikosi chake pamoja na bench la ufundi lkn si kweli kwamba ni team unayoweza kubeza kama unavyodai.