Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

Acha kuishi nyakati za nyuma mzee ishi sasa... Hiyo Simba ya kina Miqsoinne ilikuwa inafungwa mbona sana tu na draw za kutosha au umesahau? Usiwe "plastic fan" ..... in fact kama utalinganisha na misimu mitatu nyuma Simba hii ina wastani mzuri wa magoli ushindi.

Ukweli ni kwamba team ina mapungufu kadhaa kdg upande wa wachezaji na benchi la ufundi tu.

Shida kubwa niionayo ni kuwa kocha hana mbinu na hawezi Soma mchezo. Kuna muda mbinu za kocha husaidia hata wachezaji ndani kufanya vyema hata kama wana quality ya chini. Kocha Mgunda anabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji, wachezaji key wakishikwa huwaga hanaga mbinu mbadala. Mfano leo inamtoa Okra unamuingiza Kibu wa nn sasa.
 
Kwahiyo ikiwa nafasi hiyo ndiyo miaka nenda rudi haishuki kiwango?

Au unadhani hapo ilipofika ilijikuta tu ghafla bila ya kuzidi timu zingine viwango ambazo zilikuwa zipo nafasi hiyo kabla ya Simba kupanda kiwango?

Aliyewaita Mbumbumbu alikuwa sahihi kabisa.
 
Mkuu we timu Bora unaipima vipi? Kwako idadi ya magoli mengi ya kufunga na machache ya kufungwa ni kipimo sahihi? Yaana unaacha kuangalia performance na points ambavyo ndio vigezo vya awali we umechagua ukimbilie pale unapoona patakupa faraja..
Simba imefungwa goli 6 sawa Yanga na ipo mbele Kwa idadi ya goli za kufunga Kwa sababu imecheza Michezo miwili zaidi ya Yanga..

Sio tu kwamba Simba ni timu mbovu bali iko kwenye anguko .
Takwimu zipo wazi hebu katazameni kabati la makombe pale msimbazi uone.. Hali ni Tete mzee
 
FYI imepanda naambiwa hapa mwaka huu, baada ya kuingia makundi champions league.... !

Muhimu utambue kwanza ukubwa wa Simba ktk soka la EA na Afrika kwa ujumla kisha ndy tujue hayo mengine ambayo ki msingi ni majaaliwa
 
Kwani wachezaji waliofika robo fainali Shirikisho walikuwa akina nani? Sio haohao unaowabeza?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Magoli yenyewe ndiyo hayo ya offsides mnayopata kupitia m-pesa?

Naona tangu mwaka jana offsides ni za Yanga tu tena Mayele nakati magoli mengine unakuta hata hayuko offsides.
 
Kuna kitu unakuwa hujitendei katika facts zako!

Simba kutoa draw si kwamba si bora, alafu unasahau hii ni ligi ni kama race tu.... mpk dakika za mwisho ndy tunaweza kuhukumu, points unazozungmzia wewe zinapimwa mwisho wa msimu na siyo sasa ligi haiishi kwa mechi 13, bali 28. Ni mapema sana kuhukumu.
 
Na kweli kama si timu yenye ubora kwa nini inaongoza kwa kufunga magoli kwenye ligi?

Umeongea point sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
FYI imepanda naambiwa hapa mwaka huu, baada ya kuingia makundi champions league.... !

Muhimu utambue kwanza ukubwa wa Simba ktk soka la EA na Afrika kwa ujumla kisha ndy tujue hayo mengine ambayo ki msingi ni majaaliwa
Eeeh...presha ya nini Ndugu kizuri zaidi mzunguko wa pili upo ambao tunajuaga kabisa ndipo sisi Thimba tunabeba kombe letu la NBC PL maana Yanga katangulia na baiskel ya miti tu [emoji1787]
 
Na kweli kama si timu yenye ubora kwa nini inaongoza kwa kufunga magoli kwenye ligi?

Umeongea point sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Magoli ma5 wachezaji wawili nnje kwa kadi nyekundu dhidi ya Mtibwa Sugar, wapinzani wetu Wananchi wana viporo viwili wakiwa wanatuongoza msimamo wa ligi na bado tunashangalia kuwa tuna magoli mengi daaah hizi akili hizi...[emoji119][emoji28]
 
Simba iliyo kwenye hizo ranks ni ile iliyofuzu ktk hizo rank na siyo hii iliyopo sasa. Hii lilyopa itapata ranks zake baada ya michezo yake yote.
 
Magoli yenyewe ndiyo hayo ya offsides mnayopata kupitia m-pesa?

Naona tangu mwaka jana offsides ni za Yanga tu tena Mayele nakati magoli mengine unakuta hata hayuko offsides.
Issue ya weakness za maamuzi kwa Tanzania ni janga kubwa sana, hata leo kuna matukio kbs yalikuwa ya faul lkn refa kaamua kufunika.

Kimsingi tuna shida ya competent referee's ingawa ni kweli kuna wanaochukua mlungula, ila tuna shida kubwa sana ya mafera wenye kukidhi viwango ndy maana hata hatuna refa mmj kwenye CAF!
 
Mimi nimechallange tu kigezo ulichotumia kusema Simba ina timu nzuri. Ni kweli league ni race ilo nalitambua, ila wakati we unatoa draw mwenzako anashinda hapo tayari anatengeneza gape ambalo ndio ilo mwisho wa msimu linakuja kutoa hukumu.

Hivi unajua kupata point mwishoni mwa ligi ni kazi ngumu sana? Kuna timu zinatafuta nafasi ya kuepuka kushuka daraja, pia kuna timu zinatafuta nafasi kuiwakilisha nchi kimataifa
 
Simba iliyo kwenye hizo ranks ni ile iliyofuzu ktk hizo rank na siyo hii iliyopo sasa. Hii lilyopa itapata ranks zake baada ya michezo yake yote.
Mkuu umeanza fatilia mpira kipindi Mayele kaja Yanga nini ?

Kwamba hujui Simba kwa kuingia makundi msimu huu kapanda rank? na kuvuna points kadhaa? Achilia mbali kufanya ligi yetu iwe namba 11 kwa ubora Africa.?
 
Endelea kudanganywa na rank
 
Unachokisema ni sawa ila kumbuka Caf champions league ni tofauti na league ya ndani wakati Barcelona anachukua league ya ndani back to back Madrid aliyekuwa anaonekana mbovu anachukua UEFA champions league back to back inawezekana simba ikawa mbovu ila game approach za champions league ni tofauti na premier league.
 
Shida ni pala ambapo mnajilinganisha na Yanga, hapo lazima mpate mawazo nyie level yenu ni Singida, Mbeya, Kagera na katiba ya hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…