Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

Simba hata akisajiri mchezaji wa kiwango kikubwa sana ni hamna kitu uchawi umetawala akili zao mpaka wanaweka pembe tatu kwenye majezi na nyota shingoni alama za kifremansoni

Mtapigwa daile leteni tu nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…