Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What? Typing error? Barua ya kwenda CAF inaandikwa kimzaa hivyo ni kawaida yenu andikeni nyingine kwenda FIFA haaaaa maana hamchelewi kwenda hukoTyping error.
Mbona Yanga mmeshindwa kuandika andiko la mradi wa kuondoa umasikini Tasaf ili muweze kusaidiwa badala ya kutembeza bakuli?Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Naona mmepaniki hadi kuandika mnachanganya madensa maana kitakachotokea Lubumbashi mnakijuaMbona Yanga mmeshindwa kuandika andiko la mradi wa kuondoa umasikini Tasaf ili muweze kusaidiwa badala ya kutembeza bakuli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata Kiswahili kinakushinda, eti 'malefa'!Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Bora nilyekosea kiswahili sasa ww unayejilazimisha kuandika English matokeo yake ndo hayo hata TFF wanaanzaje kuituma hyo barua kwenda CAFWewe hata Kiswahili kinakushinda, eti 'malefa'!
Typing error hutaki???What? Typing error? Barua ya kwenda CAF inaandikwa kimzaa hivyo ni kawaida yenu andikeni nyingine kwenda FIFA haaaaa maana hamchelewi kwenda huko
Naomba kuuliza mkuu, kwa upeo wako alitakiwa kuandika nini badala ya 'please find attached the letter'Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Nipe namba ya aliyesaini barua nimpe shule ya matumizi ya the wapi ilitakiwa kuwaNaomba kuuliza mkuu, kwa upeo wako alitakiwa kuandika nini badala ya 'please find attached the letter'
Manara hajui kuandika kiingereza, atakuwa huyo mtendaji wa Simba. Haji manara ni illiterate..... 100%[emoji41]Nilifikiri Mimi ndiyo nimeona tu, kumbe hata we we mkuu umeona? Atakuwa kaandika Manara, alafu CEO kasaini bila kuipitia
Mbumbumbu hawana tibaNimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Barua ya kwenda CAF inaandikwa kimzaa hivyo