Simba kama kiingereza hamuwezi andikeni kwa lugha ya kiswahil

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
 
Attachments

  • IMG_20190408_121905.jpeg
    IMG_20190408_121905.jpeg
    38.1 KB · Views: 77
Manara sio mtu mzuri,au ushasahau ile barua aliyoiandika kwenda fifa wakabidhiwe kombe la vpl hlf barua kumbe aikutumwa fifa wala nini,ilikua janja tu ya kuwatuliza mikia,na barua hii ya caf ndio hivyo hivyo inatumika kuwajenga kisaikoloji mikia wakishakula wiki kule lubumbashi waamini ya kua refa kawaua na atawaambia caf watawapa ushindi wa mezani while kumbe hata hiyo barua yenyewe aikutumwa huko caf
 
Nilifikiri Mimi ndiyo nimeona tu, kumbe hata we we mkuu umeona? Atakuwa kaandika Manara, alafu CEO kasaini bila kuipitia
 
Typing error.
What? Typing error? Barua ya kwenda CAF inaandikwa kimzaa hivyo ni kawaida yenu andikeni nyingine kwenda FIFA haaaaa maana hamchelewi kwenda huko
 
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Mbona Yanga mmeshindwa kuandika andiko la mradi wa kuondoa umasikini Tasaf ili muweze kusaidiwa badala ya kutembeza bakuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Wewe hata Kiswahili kinakushinda, eti 'malefa'!
 
Bora nilyekosea kiswahili sasa ww unayejilazimisha kuandika English matokeo yake ndo hayo hata TFF wanaanzaje kuituma hyo barua kwenda CAF
 
What? Typing error? Barua ya kwenda CAF inaandikwa kimzaa hivyo ni kawaida yenu andikeni nyingine kwenda FIFA haaaaa maana hamchelewi kwenda huko
Typing error hutaki???
Kimzaa ndio nini ?Kilugha??Unajifanya perfect wakati hata kuandika kiswahili unashindwa!
 
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Naomba kuuliza mkuu, kwa upeo wako alitakiwa kuandika nini badala ya 'please find attached the letter'
 
Nimeamini kuwa yule jamaa aliyesema wale jamaa ni mbumbumbu hakukosea ile barua ya kupinga kubadilshwa malefa wanaandika please find attached the letter sijui ndo nini kwa maandishi yale hata CAF hawataelewa mlichokuwa mnamaanisha haaaaaaa
Mbumbumbu hawana tiba
 
Back
Top Bottom