Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Sasa we utaishiaje robo kila msimu no progress?

Sasa subiri tuje kuwaonesha ni namna gani klabu inapiga hatua. Sio kuishia pale pale kila msimu.
Kuishia pale pale, kwani Yanga imekuwa inaishia wapi miaka yote? Mnajimwambafai wakati rekodi zenu tunazo
 
Kuishia pale pale, kwani Yanga imekuwa inaishia wapi miaka yote? Mnajimwambafai wakati rekodi zenu tunazo
Yanga imebadilika wakati gani? Si unaona miaka ya hivi karibuni Yanga ilivyo moto wa kuotea mbali.

Sasa subiri ujifunze.
 
Back
Top Bottom