Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

Hili neno "ndani ya msimu mmoja" linafanya uonekane mpumbavu, Yanga haijafika hapo kwa msimu mmoja.
Usibishe usichokijua Mzee. Yanga ana points 20 alizozichukua msimu huu pekee. Miaka minne nyuma yote ni 0.
 
Kuiona quality ya mchezaji ni mpaka umuone anacheza sio kutumia hisia
Kwani katika hao nani ambaye hajawahi kuonekana akicheza?

Mchezaji mpaka anakuwa MVP bado tu haitoshi, unataka achezaje?

Nani mwenye wasiwasi na Quality ya Chama? Naye ni wakusema mpaka acheze?

Je hujawahi kumuona akicheza?
 
Yaani mtu anasema ni Bingwa wa Ligi lakini bado anaanzia hatua za chini kabisa 😁

Utofauti wa Timu kubwa na Ndogo ndiyo huu.

Tukutane kimataifa 💪

Nguvu moja 💪💪
Nyie mikia aka Mbumbumbu fc msimu huu hamna timu, makundi Klabu bingwa mtayasikia kwenye redio, mi nimekaa pale kwa Mpalanger!

Yanga tushazoea kucheza fainali kubwa Afrika tunapiga Djibouti hao ndani nje na kutinga makundi! Makundi tunaua wote ndani nje haoooo robo fainali , Kisha nusu fainali, mara paap tuko fainali na kombe tunabeba, kwasasa ngumi jiwe hakuna wa kutuzuia Afrika!
 
Yanga tushazoea kucheza fainali kubwa Afrika tutapiga Kila atakaeleta pua yake!
 
Kwani katika hao nani ambaye hajawahi kuonekana akicheza?

Mchezaji mpaka anakuwa MVP bado tu haitoshi, unataka achezaje?

Nani mwenye wasiwasi na Quality ya Chama? Naye ni wakusema mpaka acheze?

Je hujawahi kumuona akicheza? chama msimu uliopita alikuwepo na bahati mbaya alishindwa kuipa timu yake taji lolote lile

Kwani katika hao nani ambaye hajawahi kuonekana akicheza?

Mchezaji mpaka anakuwa MVP bado tu haitoshi, unataka achezaje?

Nani mwenye wasiwasi na Quality ya Chama? Naye ni wakusema mpaka acheze?

Je hujawahi kumuona akicheza?
Quality ya hao wakina chama ni ndogo,kwa maana malengo ya club yalishindwa kutimia ambayo ni kuchukua vikombe vyote vya ndani na kufika semi final kwenye champion league kwahiyo simba ilifeli kwasababu ya ubovu wa hao unaowasifia
 
Robo fainali ni kombe gani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kombe la Uji.
Ili hapa 👇mtu wangu.
images (2).jpeg
 
Yanga imepata faida kubwa kuanza hatua za awali kutest mitambo mipya kina Skudu na kujua shida Iko wapi! Tukishaua Djibouti Kila atakaengia anga zetu lazima apasuke hadi fainali ambazo tumezoea kucheza sio wale wa kuishia robo fainali sifa kibaaao Mpira hamna!

wanaYanga tufurahie kupewa hii nafasi nzuri!
 
Quality ya hao wakina chama ni ndogo,kwa maana malengo ya club yalishindwa kutimia ambayo ni kuchukua vikombe vyote vya ndani na kufika semi final kwenye champion league kwahiyo simba ilifeli kwasababu ya ubovu wa hao unaowasifia
Malengo yalishindwa kutimia kutokana na mchango mdogo wa wachezaji ambao tumewasitishia mikataba yao.

Wakina Chama peke yao hawatoshi, kuna mashindano mengi, kila mechi hiwezi kumchezesha Chama lazima uwe na backup.

Backup ndio iliyotufelisha pamoja na sajili ambazo hazikuwa za kimahesabu.
 
Nyie mikia aka Mbumbumbu fc msimu huu hamna timu, makundi Klabu bingwa mtayasikia kwenye redio, mi nimekaa pale kwa Mpalanger!

Yanga tushazoea kucheza fainali kubwa Afrika tunapiga Djibouti hao ndani nje na kutinga makundi! Makundi tunaua wote ndani nje haoooo robo fainali , Kisha nusu fainali, mara paap tuko fainali na kombe tunabeba, kwasasa ngumi jiwe hakuna wa kutuzuia Afrika!
Hongereni kwa kuota,

Unafikiri Champions league ni sawa na huko Shirikisho

Uzuri wake mwaka huu ukitolewa Champions league hakuna kuangukia Shirikisho kama mwaka jana, yaani hakuna kitonga mwaka huu.

Mtani eeh, Kwa kifupi tukutane Kimataifa ✈️💪
 
Kumbe mnaelewa huku ni kugumu zaidi, sasa zile kejeli za kuishia robo huwa zinatoka wapi?
Sasa we utaishiaje robo kila msimu no progress?

Sasa subiri tuje kuwaonesha ni namna gani klabu inapiga hatua. Sio kuishia pale pale kila msimu.
 
Back
Top Bottom