Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hapo kwa Club Africain pagumu ila akikaza anatoboa.Bahir DAR ya Ethiopia
Na mshindi wa hapo atakutana na Club Africain ya Tunisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa Club Africain pagumu ila akikaza anatoboa.Bahir DAR ya Ethiopia
Na mshindi wa hapo atakutana na Club Africain ya Tunisia.
Watu wanawaza Champion League na SuperCup. Wewe unawaza Shirikisho (kombe la wachovu)Kaizer aliwakanda nyie na akamkanda Mme wenu wydad Casablanca nusu Fainali akatua Fainali ambayo hamtakuja kucheza Hadi yesu anarudi
Yeah,Na nimependa masharti ya Mwaka Huu, ukishindwa Champions league hakuna kurudi Shirikisho
Maana kuna watu walizoea Mteremko 🤪
Mkuu mbona maelezo mengiii SANA...Tena hayahusiani na nilichokisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unacheza shirikisho na wewe ushakuwa bingwa? Unacheza shirikisho (kombe la wachovu) unamvimbia aliyecheza champion league robo fainali?
Kama yanga alifanya vizuri kuliko Simba kwanini Yanga hayupo African Super Cup?
Sasa hivi hakuna kujilegeza ukacheze shirikisho, tubaki wote tucheze Champion league.
Sa itakuwaje pale Jangwani 😁Yeah,
Walishapanga wajitoleshe Champion ili waangukie Shirikisho
Wakifanikiwa sana wataishia makundi.Sa itakuwaje pale Jangwani 😁
Hahaha.............wataishia kumfukuza Rais wao sasa 😁Wakifanikiwa sana wataishia makundi.
Nafikiri hawa wanamibia ndiyo tutakutana nao Power Dynamos sijui kama watawamudu..
Teh! Teh! Teh! Mkuu, wapo tofauti! Pro. Mruma hawezi kuja kusema alikosea!Huna tofauti na profesa mruma
Azam kwa Club Africain hatoboi.Hapo kwa Club Africain pagumu ila akikaza anatoboa.
Siyo bingwa wa ligi tu, ila ni finalists.Yaani mtu anasema ni Bingwa wa Ligi lakini bado anaanzia hatua za chini kabisa [emoji16]
Utofauti wa Timu kubwa na Ndogo ndiyo huu.
Tukutane kimataifa [emoji123]
Nguvu moja [emoji123][emoji123]
Kwa hiki ulichoandika. Hauna tofauti na mwanafunzi wa darasa la pili anayejifunza kuandika. Haujazingatia kanuni za uandishi.Mkuu mbona maelezo mengiii SANA...Tena hayahusiani na nilichokisema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza Kuta nawe ni mwanasheria wa serekale[emoji2][emoji2]
Unadhani unawaleta tu kama TundamanMechi ya Simba Day ibadirishwe...
Wawalete hata orando pirates.
Wewe ulijilegeleza kwa Makiri kiri?Unacheza shirikisho na wewe ushakuwa bingwa? Unacheza shirikisho (kombe la wachovu) unamvimbia aliyecheza champion league robo fainali?
Kama yanga alifanya vizuri kuliko Simba kwanini Yanga hayupo African Super Cup?
Sasa hivi hakuna kujilegeza ukacheze shirikisho, tubaki wote tucheze Champion league.
Tukumbushe mtoano kati yenu na Kaizer Chiefs!Simba anacheza na timu ambazo zipo champion league tu. Huyo Kaizer chiefs alikuwepo Champion League mpk robo fainal au aliishia kucheza mechi mbili kama utopolo? Mgecheza na Wyadad aliyemtoa Simba km mlikuwa mnataka kumuoneshea Simba
Umesikia kanuni za CAF? Mtaishia kucheza mechi mbili kama msimu uliopita?
Big Bullet alifungwa na Simba nje ndani Champion League halafu nyie mkaona mepata neema sana.
Tarehe 18 Champion League hiyo. Yanga anatamani awe mshindi wa 3 akacheze shirikisho tena, msimu ujao unaweza kushangaa Yanga anakuwa wa 3 ligi ya home akacheze shirikisho.
Yanga SuperCup anacheza?
Quality hiyo umeiona wapi kwasababu tangu simba asajili haujaiona inacheza wewe mwanamkeSio wabovu ila hawana Quality kutuzidi sisi