SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Jul 26, 2023 #121 Vishu Mtata said: Sasa we utaishiaje robo kila msimu no progress? Sasa subiri tuje kuwaonesha ni namna gani klabu inapiga hatua. Sio kuishia pale pale kila msimu. Click to expand... Kuishia pale pale, kwani Yanga imekuwa inaishia wapi miaka yote? Mnajimwambafai wakati rekodi zenu tunazo
Vishu Mtata said: Sasa we utaishiaje robo kila msimu no progress? Sasa subiri tuje kuwaonesha ni namna gani klabu inapiga hatua. Sio kuishia pale pale kila msimu. Click to expand... Kuishia pale pale, kwani Yanga imekuwa inaishia wapi miaka yote? Mnajimwambafai wakati rekodi zenu tunazo
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jul 26, 2023 #122 SAYVILLE said: Kuishia pale pale, kwani Yanga imekuwa inaishia wapi miaka yote? Mnajimwambafai wakati rekodi zenu tunazo Click to expand... Yanga imebadilika wakati gani? Si unaona miaka ya hivi karibuni Yanga ilivyo moto wa kuotea mbali. Sasa subiri ujifunze.
SAYVILLE said: Kuishia pale pale, kwani Yanga imekuwa inaishia wapi miaka yote? Mnajimwambafai wakati rekodi zenu tunazo Click to expand... Yanga imebadilika wakati gani? Si unaona miaka ya hivi karibuni Yanga ilivyo moto wa kuotea mbali. Sasa subiri ujifunze.