Simba kuchezeshwa saa nane za usiku na mwarabu

Ndio maana tunaitwa MBUMBUMBU.
Eti usiku wa manane, Mbumbumbu kweli.

Unapotosha kwa heading yako.

View attachment 2566437

Afadhali ungeongezea na maneno KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI.

View attachment 2566434
Mechi ni saa nne uisku kwa saa za Morocco ambao ni muda wa kawaida jwa mechi za mpira wa miguu.
Kwani wewe huwa hausomi content, unaishia heading tu? Mbona kwenye maeezo yapo clear kuwa kwa saa za Africa Mashariki?
 
Kama ni kweli, basi Taifa linaenda kuaibishwa ugenini! Kuwachezesha wachezaji wazee usiku mnene kiasi hicho ni ukiukwaji mkubwa wa haki yao ya msingi ya kulala na kupumzisha miili yao.
 
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.

KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane kamili usiku.

Mechi zingine ambazo zitachezwa mda huo ni Esperance [emoji1249] vs CR Belouzidad na Wydad vs JS Kabylie.

Athari Kwa Simba
_Kikosi chetu kina wazee wengi Kwa muda huo binafsi naona muarabu kashafanya calculations ili achukue point zote

Kusinzia uwanjani

Kutokana na uzee wa wachezaji wetu ...sitoshangaa wakianza kusinzia uwanjani

NB: mwarabu Hana huruma...hatuachii hata hizi point za mwisho???

#TotalEnergayChampionsLeague
View attachment 2566225
Kazi wanayo waarabu mda huo washishaba futari naziona gori zaidi3 isije kutokea 7 watu wakazirudisha huko morocco
 
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.

KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane kamili usiku.

Mechi zingine ambazo zitachezwa mda huo ni Esperance [emoji1249] vs CR Belouzidad na Wydad vs JS Kabylie.

Athari Kwa Simba
_Kikosi chetu kina wazee wengi Kwa muda huo binafsi naona muarabu kashafanya calculations ili achukue point zote

Kusinzia uwanjani

Kutokana na uzee wa wachezaji wetu ...sitoshangaa wakianza kusinzia uwanjani

NB: mwarabu Hana huruma...hatuachii hata hizi point za mwisho???

#TotalEnergayChampionsLeague
View attachment 2566225
Mechi ikiisha wanakula daku kabisa
 
Mechi saa 10
Screenshot_20230326-205127_Chrome.jpg
 
Kama ni kweli, basi Taifa linaenda kuaibishwa ugenini! Kuwachezesha wachezaji wazee usiku mnene kiasi hicho ni ukiukwaji mkubwa wa haki yao ya msingi ya kulala na kupumzisha miili yao.
Full kusinzia
 
timu ya wazee ingefika robo fainali mabigwa Africa nzima, wazee ni wale wanaocheza kombe la ma -looser.
Sawa wanefika robo fainali......lkn Je wamekutana na timu gani???
 
uzi una kejeli na dharau nyingi kwa Simba yetu ila sisi mashabiki atujali.

Onyango sio mzee na wala hasinzii,,ila wewe jamaa mtata sana😅😂
 
Back
Top Bottom