IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Morali ya mashabiki hapa ishakufa no way mech zinazofata hapa zote tutaangalia kideoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache kucheza mdomoni na mwingine kesho anapigwa na upumbavu wa jogging. Mpira ni uwekezaji sio mdomo mdomo na kuokoteza wachezaji.
Uko ndo tusubiri aibu kubwa sana
Eeeh Saido tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini kama ni mshabiki wa mpira kweli, ungeweza kutoa kasoro zilizojidhihirisha kwenye mchezo wa leo kwanza kabla ya kuanza kuhukumu historia!
Timu haina short on target ya maana, mipira inapotea kati, Saido anapoteza mipira ovyo, anaesaidia na Kapombe hajulikani, Boko na Baleke hakukuwa na tofauti.
Kongole kwa Shomari kwa kila hali.
Kimsingi, tatizo ni waalimu kwanza, kisha umri wa wachezaji na mwisho makuzi ya wachezaji, kuwa mpira sio jambo lao la kwanza, ni baada ya kufeli shule!
Dah wanacheza kama ulaya aisee.Mimi ni shabiki wa mnyama pure.... ila hii ya leo hata umlete pep guardiola original hachomoi.
Hiyo quality ya waarabu umeiona? Umecheki wanavyokimbia? Umecheki wanavyojiamini wakipata mpira?umeona pass accuracy yao?
Men tukubali raja ina wachezaji quality kuliko simba leo hakuna wa kulaumiwa hata mmoja.
Kuna namna unafungwa unajilaumu ila leo, yah tumepigwa kiufundi kabisa.Dah wanacheza kama ulaya aisee.
Yule Sufiane aliyefunga goli la pili ana miaka 22.
Hata Guardiola aje, kama wachezaji wameshafika menopause ya mpira akili imeshanoki hakuna mtakapoenda.Sidhani Kama kocha atamaliza msimu
Tulia basi chief😁😁.
Uko sawa kwenye angle hiyo mkuu ila kumbuka kuwa kwa sasa, sio tu uchumi wa nchi pekee bali kila sekta ni masikini na huku kwenye soka, uwezo wa kusajili mchezaji kwa sh 100m hatuna, ni kulazimisha upuuzi wa kipuuzi tuManzoki tuu iliyohitajika ml 400 viongozi waliingia mitini wakaleta kyombo, kapama na the likes ambao ni bei chee na viwango duni. Pale simba kwa squad hii hata umlete mzee wenga hatoboi.
Nakubali, first on target, goli, second on target, goli.Wale hata game irudiwe Simba anafungwa tena kwa kifupi jamaa wamewazidi Simba uwezo
SaidiEeeh Saido tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Quality ya wachezaji wa Raja na wa Simba ni mbingu na ardhi....shida kubwa pia ipo kwa viongozi ambao wanasajili wachezaji wachovu kama sawadogoNakubali, first on target, goli, second on target, goli.
Kipaji hakikuzwi mtaani, Kapombe, Chama, Baleke, Saido, Enock, Mkude, Mzamiru n.k, hawa wameanzia wapi career yao ya mpira wa miguu?
Ww ndyo shabiki kwenye ukweli unasema siyo wengine kazi kukaza mafuvu tuKiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop.
Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni uzwazwa.
Ni hivi, Simba imekuwa ikisajiri kwa ujanja ujanja, ni kama viongozi hawapo serious huku ukweli wanaujua, mpira ni uwekezaji.
Ni hivi, Simba imewekeza sana kwenye propaganda. Msemaji wa timu anaropoka ropoka tuu kufurahisha genge huku akijua wazi kuwa mpira hauchezwi mdomoni wala kwa slogan.
Ni hivi, viongozi wanatufanya mashabiki wa simba ni mazuzu. Wanaona kwa kuwa watu wanaujaza uwanja basi wao wanafikiri watu ni watumwa wa mpira na hawana shuguli nyingine ya kufanya. Tunaweza tusiwe tunaenda uwanjani kwa kususia kwani simba haileti ugali majumbani kwetu.
Ni hivi, imenyesha tumejua panapo vuja. Tuna wachezaji magalasa kibao ambao hawakutakiwa kuwa simba leo ila wanalindwa kwa kutumia neno uzawa, bloodfckn.
Ni hivi, hii dhana ya kujiona wakubwa kisa tulimfunga ahly ni ya kitoto na ya kuachana nayo. Angalia quality tuliyonayo sasa hivi utaifunga timu gani inayojielewa? Hao utopolo tu ambao tunarogana kila siku hatuwawezi sembuse wanaowekeza mijipesa yao kwenye mpira?
Kiukweli natamani tusipate point hata moja kwenye mashindano haya labda viongozi akili zitawaamka. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada viongozi nao waachane na kutoa motisha kwa wachezaji kwani ile ni kazi yao.
Kiufupi msimu ujao wachezaji wanaostahili kubaki simba ni baleke, inonga, saodoo, phiri na chama bhaaasiii. Wengine wote timua. Ni bora timu ikasukwa upya kuliko kujidanganya eti sisi ni wakubwa.
Kocha hatoila pasaka bongoSidhani Kama kocha atamaliza msimu
Ni ubora tu wa Raja na ligi ya Morocco... nchi iliyofika nusu fainali ya kombe la duniaMpeni timu mgunda