Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

Raja waliandika twitter kabla ya match watashinda 3 -0 kweli wamepata hayo magoli. Wanacheza kama wapo kwao wanajiamini sana, wanasoma mchezo halafu wanatumia mapungufu kila dakika.
Inaonekana walishasoma viwango vya Simba huwezi kuwalaumu wachezaji au kocha wa Simba.

Hao wenzetu wameonesha kiwango cha juu sana.
Wametuzidi kila idara, kila kitu kuanzia mitandaoni hadi uwanjani.
 
Eeeh Saido tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah wanacheza kama ulaya aisee.
Yule Sufiane aliyefunga goli la pili ana miaka 22.
 
Naungana na wewe mtoa mada. Tuanze project mpya. Mambo ya ghafla hayata tufikisha popote.

Viongozi wa timu wanatufanyia siasa.

Unaanzisha kandarasi na kocha mpya (mwenye falsa tofauti na iliopo) wiki tatu kuelekea mchuano mkubwa na muhimu kama huu, unatarajia nini?

Unamleta Manzoki kuja kufanya maonyesho kwenye uchagu wakati ulishindwa kumsajili dirisha kubwa na ndogo, kama sio siasa za uchaguzi ni nini?
 
Manzoki tuu iliyohitajika ml 400 viongozi waliingia mitini wakaleta kyombo, kapama na the likes ambao ni bei chee na viwango duni. Pale simba kwa squad hii hata umlete mzee wenga hatoboi.
Uko sawa kwenye angle hiyo mkuu ila kumbuka kuwa kwa sasa, sio tu uchumi wa nchi pekee bali kila sekta ni masikini na huku kwenye soka, uwezo wa kusajili mchezaji kwa sh 100m hatuna, ni kulazimisha upuuzi wa kipuuzi tu

Kama hatuna chipukizi wa miaka 16 to 21, hatuwezi toboa kwa wachezaji wa mchongo tunaoambiwa wanasajiliwa kwa 100m na kuendelea.

Waarabu wanatumia wageni kushinda hizi mechi?

TP Mazembe, enzi zake, wageni wangapi walikuwa wanatamba kwenye kikosi?
 
Wale hata game irudiwe Simba anafungwa tena kwa kifupi jamaa wamewazidi Simba uwezo
Nakubali, first on target, goli, second on target, goli.

Kipaji hakikuzwi mtaani, Kapombe, Chama, Baleke, Saido, Enock, Mkude, Mzamiru n.k, hawa wameanzia wapi career yao ya mpira wa miguu?
 
Nakubali, first on target, goli, second on target, goli.

Kipaji hakikuzwi mtaani, Kapombe, Chama, Baleke, Saido, Enock, Mkude, Mzamiru n.k, hawa wameanzia wapi career yao ya mpira wa miguu?
Quality ya wachezaji wa Raja na wa Simba ni mbingu na ardhi....shida kubwa pia ipo kwa viongozi ambao wanasajili wachezaji wachovu kama sawadogo
 
Ww ndyo shabiki kwenye ukweli unasema siyo wengine kazi kukaza mafuvu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…