TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Kiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop.
Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni uzwazwa.
Ni hivi, Simba imekuwa ikisajiri kwa ujanja ujanja, ni kama viongozi hawapo serious huku ukweli wanaujua, mpira ni uwekezaji.
Ni hivi, Simba imewekeza sana kwenye propaganda. Msemaji wa timu anaropoka ropoka tuu kufurahisha genge huku akijua wazi kuwa mpira hauchezwi mdomoni wala kwa slogan.
Ni hivi, viongozi wanatufanya mashabiki wa simba ni mazuzu. Wanaona kwa kuwa watu wanaujaza uwanja basi wao wanafikiri watu ni watumwa wa mpira na hawana shuguli nyingine ya kufanya. Tunaweza tusiwe tunaenda uwanjani kwa kususia kwani simba haileti ugali majumbani kwetu.
Ni hivi, imenyesha tumejua panapo vuja. Tuna wachezaji magalasa kibao ambao hawakutakiwa kuwa simba leo ila wanalindwa kwa kutumia neno uzawa, bloodfckn.
Ni hivi, hii dhana ya kujiona wakubwa kisa tulimfunga ahly ni ya kitoto na ya kuachana nayo. Angalia quality tuliyonayo sasa hivi utaifunga timu gani inayojielewa? Hao utopolo tu ambao tunarogana kila siku hatuwawezi sembuse wanaowekeza mijipesa yao kwenye mpira?
Kiukweli natamani tusipate point hata moja kwenye mashindano haya labda viongozi akili zitawaamka. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada viongozi nao waachane na kutoa motisha kwa wachezaji kwani ile ni kazi yao.
Kiufupi msimu ujao wachezaji wanaostahili kubaki simba ni baleke, inonga, saodoo, phiri na chama bhaaasiii. Wengine wote timua. Ni bora timu ikasukwa upya kuliko kujidanganya eti sisi ni wakubwa.