Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Mangungu yupo kwake anakula maisha, Mo anakula maisha, Try again anakula maisha.... Afu anatoka mtu anawaza mambo ya Simba kama vile anakula hata shingilingi 5😅😅... Maisha ya Simba na yanga achana nayo.... ...Ukiona kwenye mpira hakuna furaha kanywe hata mbegi. Sio unakuja na huu ulojo