Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

Mangungu yupo kwake anakula maisha, Mo anakula maisha, Try again anakula maisha.... Afu anatoka mtu anawaza mambo ya Simba kama vile anakula hata shingilingi 5😅😅... Maisha ya Simba na yanga achana nayo.... ...Ukiona kwenye mpira hakuna furaha kanywe hata mbegi. Sio unakuja na huu ulojo
 
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.

Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na mshahara wa kufuru. Wachezaji hao nipamoja na

1. Ki Azizi
2. Ibrahim Baka
3. Bakari mwamnyeto
4. Mudhathiri Yahaya

Kubali Clabu ya Azam Simba imepanga kuwanyakua
1. Bajana
2. Faisal salum

Pamoja na usajili huo wa nguvu Simba inajiandaa kubisha kwa majirani Kenya Kumnasa Mshambuliaji hatari wa Gormahya Omalla

Pia Simba inasaka saini ya Melinda mlango konako ligi kuu ya Africa kusini ambapo Kama itashindikana wamejiandaa pia kumshawishi golikipa Bora wa ligi kuu mpaka Sasa Diara kutoka kwa Wana jangwani
Iko hivi miamba hiyo ya Msimbazi imejipanga vilivyo kuhakikisha inarudisha ubingwa kwa wanasimba ili kurudisha Imani kwa mashabiki.

Kwa upande wa Kocha huenda wakapiga hodi kule Morocco kwa Nabi kuona Kama wanaweza kumrejesha Kocha huyo nchini

KUHUSU MAYELE
Kama Simba itashindwa Kumnasa Omala Basi huenda wakageukia saini ya aliyekuwa Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
Screenshot_20240430_185800_Gallery (1).jpg
 
Mkuu hao wachezaji uliowataja wanathamani ya b 30.
Na thamani ya Simba in b 20 lamdah muuze wachezaji wote waliopo pamoja na asset za timu ndo mnunue hao wachezaji 6
 
Mangungu yupo kwake anakula maisha, Mo anakula maisha, Try again anakula maisha.... Afu anatoka mtu anawaza mambo ya Simba kama vile anakula hata shingilingi 5😅😅... Maisha ya Simba na yanga achana nayo.... ...Ukiona kwenye mpira hakuna furaha kanywe hata mbegi. Sio unakuja na huu ulojo
😄😄
 
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.

Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na mshahara wa kufuru. Wachezaji hao nipamoja na

1. Ki Azizi
2. Ibrahim Baka
3. Bakari mwamnyeto
4. Mudhathiri Yahaya

Kubali Clabu ya Azam Simba imepanga kuwanyakua
1. Bajana
2. Faisal salum

Pamoja na usajili huo wa nguvu Simba inajiandaa kubisha kwa majirani Kenya Kumnasa Mshambuliaji hatari wa Gormahya Omalla

Pia Simba inasaka saini ya Melinda mlango konako ligi kuu ya Africa kusini ambapo Kama itashindikana wamejiandaa pia kumshawishi golikipa Bora wa ligi kuu mpaka Sasa Diara kutoka kwa Wana jangwani
Iko hivi miamba hiyo ya Msimbazi imejipanga vilivyo kuhakikisha inarudisha ubingwa kwa wanasimba ili kurudisha Imani kwa mashabiki.

Kwa upande wa Kocha huenda wakapiga hodi kule Morocco kwa Nabi kuona Kama wanaweza kumrejesha Kocha huyo nchini

KUHUSU MAYELE
Kama Simba itashindwa Kumnasa Omala Basi huenda wakageukia saini ya aliyekuwa Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
Konyagi feki, burudani na bangi
 
Ndoto za alinacha hizi bila shaka.
 
Nilivyoona hiyo picha uloweka nikajua tu kilichoandikwa kitakuwa ni shombo.
 
Viongozi wanatafuta huruma kwa wanachama,yaleyale ya Wanambiwa Manzoki anakuja halafu wanaletewa Jobe. Naona viongozi wanacheza na mitandao tu.
 
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.

Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na mshahara wa kufuru. Wachezaji hao nipamoja na

1. Ki Azizi
2. Ibrahim Baka
3. Bakari mwamnyeto
4. Mudhathiri Yahaya

Kubali Clabu ya Azam Simba imepanga kuwanyakua
1. Bajana
2. Faisal salum

Pamoja na usajili huo wa nguvu Simba inajiandaa kubisha kwa majirani Kenya Kumnasa Mshambuliaji hatari wa Gormahya Omalla

Pia Simba inasaka saini ya Melinda mlango konako ligi kuu ya Africa kusini ambapo Kama itashindikana wamejiandaa pia kumshawishi golikipa Bora wa ligi kuu mpaka Sasa Diara kutoka kwa Wana jangwani
Iko hivi miamba hiyo ya Msimbazi imejipanga vilivyo kuhakikisha inarudisha ubingwa kwa wanasimba ili kurudisha Imani kwa mashabiki.

Kwa upande wa Kocha huenda wakapiga hodi kule Morocco kwa Nabi kuona Kama wanaweza kumrejesha Kocha huyo nchini

KUHUSU MAYELE
Kama Simba itashindwa Kumnasa Omala Basi huenda wakageukia saini ya aliyekuwa Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
Kwa vichekesho hivi na vingine katika msimu wa maji kupwa maji kujaa kwa wanalunyasi unabonyeza ngapi?
 
Tunaweza kuwagei hao wote na Bado mkafungwa na msichukue ubingwa foleva
 
Furaha yangu ni kuona wanasimba wakiteseka, wakitapatapa na kuweweseka kama wagonjwa wa pepo punda.
Ila bado unaendelea kua maskini. Sasa inakusaidia nini kumcheka tshabalala anaelipwa milioni 30+ kisa kakosa ubingwa huku wewe ukiendelea kua MASKINI.
 
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.

Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na mshahara wa kufuru. Wachezaji hao nipamoja na

1. Ki Azizi
2. Ibrahim Baka
3. Bakari mwamnyeto
4. Mudhathiri Yahaya

Kubali Clabu ya Azam Simba imepanga kuwanyakua
1. Bajana
2. Faisal salum

Pamoja na usajili huo wa nguvu Simba inajiandaa kubisha kwa majirani Kenya Kumnasa Mshambuliaji hatari wa Gormahya Omalla

Pia Simba inasaka saini ya Melinda mlango konako ligi kuu ya Africa kusini ambapo Kama itashindikana wamejiandaa pia kumshawishi golikipa Bora wa ligi kuu mpaka Sasa Diara kutoka kwa Wana jangwani
Iko hivi miamba hiyo ya Msimbazi imejipanga vilivyo kuhakikisha inarudisha ubingwa kwa wanasimba ili kurudisha Imani kwa mashabiki.

Kwa upande wa Kocha huenda wakapiga hodi kule Morocco kwa Nabi kuona Kama wanaweza kumrejesha Kocha huyo nchini

KUHUSU MAYELE
Kama Simba itashindwa Kumnasa Omala Basi huenda wakageukia saini ya aliyekuwa Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
Kolo ana hela???
 
kwa mipango ya mdomoni mnyama kashindikana...
 
Ila bado unaendelea kua maskini. Sasa inakusaidia nini kumcheka tshabalala anaelipwa milioni 30+ kisa kakosa ubingwa huku wewe ukiendelea kua MASKINI.
Virusi vya umaskini vimekula ubongo wako wote kiasi kwamba unamuona kila mtu ni maskini mwenzio.
 
Kwa taarifa ambazo nimepenyezewa nikuwa Simba imejipanga kufanya kufuru kwa KUIBOMOA YANGA huku ikipanga Kuondoka na wachezaji wanne kutoka Yanga na wachezaji wawili kutoka Azam.

Simba inajiandaa kunasa saini za wachezaji Hawa kutoka Yanga ambao wamepangiwa Dau Nono la usajili pamoja na mshahara wa kufuru. Wachezaji hao nipamoja na

1. Ki Azizi
2. Ibrahim Baka
3. Bakari mwamnyeto
4. Mudhathiri Yahaya

Kubali Clabu ya Azam Simba imepanga kuwanyakua
1. Bajana
2. Faisal salum

Pamoja na usajili huo wa nguvu Simba inajiandaa kubisha kwa majirani Kenya Kumnasa Mshambuliaji hatari wa Gormahya Omalla

Pia Simba inasaka saini ya Melinda mlango konako ligi kuu ya Africa kusini ambapo Kama itashindikana wamejiandaa pia kumshawishi golikipa Bora wa ligi kuu mpaka Sasa Diara kutoka kwa Wana jangwani
Iko hivi miamba hiyo ya Msimbazi imejipanga vilivyo kuhakikisha inarudisha ubingwa kwa wanasimba ili kurudisha Imani kwa mashabiki.

Kwa upande wa Kocha huenda wakapiga hodi kule Morocco kwa Nabi kuona Kama wanaweza kumrejesha Kocha huyo nchini

KUHUSU MAYELE
Kama Simba itashindwa Kumnasa Omala Basi huenda wakageukia saini ya aliyekuwa Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
Manzoki tayari kasaini?
 
ku-recycle wachezaji hao hao ndani ya ligi siyo maendeleo ya Soka. Nilitegemea Simba ije na usajili wa nguvu zaidi ya Yanga lakini huu usajili wa kujaribu kuishusha Yanga kwa kuichukulia wachezaji wake hakujengi. Kama Yanga ilipata wachezaji hao, haiwezi kushindwa kupata wengine wazuri zaidi. Halafu performance ya wacheazji ndani ya timu moja siyo lazima iwe sawa wakiwa kwenye timu nyingine, Mkude na Okrah ni mifano mizuri sana.
 
ku-recycle wachezaji hao hao ndani ya ligi siyo maendeleo ya Soka. Nilitegemea Simba ije na usajili wa nguvu zaidi ya Yanga lakini huu usajili wa kujaribu kuishusha Yanga kwa kuichukua wachezaji wake hakujengi. Kama Yanga ilipata wachzaji hao, haiwezi kushindwa kupata wengine wazuri zaidi. Halafu perfroemnace ya wacheazji ndani ya timu moja siyo lazima iwer sawa wakiwa kwenye timu nyingine, Mkude na Okrah ni mifano mizuri sana.
Sawa
 
Back
Top Bottom