Timu ya simba ni mali ya serikali, aanzishe yake kama boss Azam. Familia moja haiwezi kupewa simba, simba na yanga haziuzwi wala kununuliwa. Kama unampenda sana mo mpe shamba lenu la kijijini sio simba.Sisi mashabiki wanachama wa simba sports club,furaha yetu ni timu kufanya vizuri basi hakuna kingine,mo dewji hata akipewa timu sawa tu ili mradi timu inafanya vizuri.
Hivi ni kweli mawazo yangu yote nimeweka kwenye mpira? Hata ndugu zako wana shida na wewe hata kama hawakuambii.Kwanza kwanini mawazo yako yote unaweka kwenye mpira??the way you think the way you become,low mindset huwaza uwaza small thing
Sisi mashabiki wanachama wa simba sports club,furaha yetu ni timu kufanya vizuri basi hakuna kingine,mo dewji hata akipewa timu sawa tu ili mradi timu inafanya vizuri.
Ni timu ya serikali kwa sheria ipi?Timu ya simba ni mali ya serikali, aanzishe yake kama boss Azam. Familia moja haiwezi kupewa simba, simba na yanga haziuzwi wala kununuliwa. Kama unampenda sana mo mpe shamba lenu la kijijini sio simba.
Timu ya simba ni mali ya serikali, aanzishe yake kama boss Azam. Familia moja haiwezi kupewa simba, simba na yanga haziuzwi wala kununuliwa. Kama unampenda sana mo mpe shamba lenu la kijijini sio simba.
Uto imeuzwa kwa garibTimu ya simba ni mali ya serikali, aanzishe yake kama boss Azam. Familia moja haiwezi kupewa simba, simba na yanga haziuzwi wala kununuliwa. Kama unampenda sana mo mpe shamba lenu la kijijini sio simba.
Wewe ndio unaona hivyo,lakini kiuhalisia sisi kama mashabiki furaha yetu ni timu kufanya vizuri over,afu shabiki lini umewahi kuitakia mema simba.Watu kama nyie ndio mnaihujumu simba
Baki hivyohivyo. Timu ambazo Nyerere, Karume, Kawawa, Kapuya, Majaliwa, Mpango, mwigulu, Magufuli, nk ni mashabiki wao pia ni timu za serikali. Ile kanuni ya umiliki wa 51% kwa 49% unadhani uliletwa na nani ndani ya hizi timu?Una document yoyote ile inayoonyesha kuwa ni timu ya serikali? Au upo chini ya mti hapo you think kila kiti ni cha serikali