Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

Mnavyojipa moyo, kama unaufuatilia mpira,kwenye michuoni hii ya CAF championship na Confederation, mwenye hafadhali Singida. Yaani wewe na beki yako ya Kibabage/Chilambo na middle zako hizo Chama na Kagoma ukawasumbue Berkane na Orlando tupo hapa na uzuri JF inatunza risiti. Azam,Yanga,Msimbazi labda tutegemee bahati,ila kiuwezo sizani.
 
Nasubiri wanaojita wanakwenda kufyeka kichaka cha ranking,
Calculator zitaanzwa kuuzwa tena kwa wingi.
 
Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kutoboa hili kundi itakuwa maajabu ya soka siyo kiwango au uwezo.
Je kocha mpya anaweza kufanya mageuzi makubwa¿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…