Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

CV ya ndiaye ni kubwa kuliko klabu ya simba, ana uzoefu wa ligi za Africa na CAF champions league & CAF confederation CUP....... Soka la Africa linahitaji wanaolijua.... We unadhani Al Ahly kumchukua Pitso Mosimane walikua hawawaoni wazungu[emoji16]
Nikikumbuka kuhusu Zahera wa Kongo na mabao ya River United huwa natokwa na machozi.
Mwaka huu hatuwabebi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…