Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nikikumbuka kuhusu Zahera wa Kongo na mabao ya River United huwa natokwa na machozi.CV ya ndiaye ni kubwa kuliko klabu ya simba, ana uzoefu wa ligi za Africa na CAF champions league & CAF confederation CUP....... Soka la Africa linahitaji wanaolijua.... We unadhani Al Ahly kumchukua Pitso Mosimane walikua hawawaoni wazungu[emoji16]
Mwaka huu hatuwabebi tena.