Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

Sijui wameiga wapi hizi mambo!!
Mambo mengi Uto wanatuigaga ila tunakuwa wasaulifu tu maana huwa wakituiga jambo tunaachana nalo. Embu tufukue makaburi tuangalie nani alianza mtindo huu.

Lakini faida za kutangaza usiku ni ili story itrend kesho yake kuanzia asubuhi.
 
Hili la kutangaza usiku sio taratibu za Simba fc, taratibu za Simba ni kutangaza saa saba mchana, saa tisa mchana au saa kumi na mbili jioni. Yanga SC ndio wenye mambo ya kutangaza saa nne usiku, saa tano usiku, saa sita usiku. Sijui kipi kimewapendeza Simba FC nao kutangaza usiku mchezaji wao
 
Kelele nyingii!! Mwisho wa siku kumbe ni Shiza Kichuya!
 
Hilo ni kwa siku za hivi karibuni ila tuangalie haya mambo ya kusajili na kutangaza wachezaji kwa style hizi ulipoanza, Simba walikuwa wanatumia utaratibu gani.

Sisemi sisi ndiyo tulianza kwanza, ningependa tu kufahamu
 
Hivi wangemtambulisha tu ikaisha..hadi saa fulani? Huu ni ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…