ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Mara Paap Deejan huyu hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni makusuView attachment 2481176
Jean Baleke
Tangiapo ni garasa tena garasa kubwa afadhali na Kibu D [emoji1][emoji1]Kila la heri mnyama...mlipo tupo hata awe garasa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Stats zake zikojeJean Marc Makusu
Sijui wameiga wapi hizi mambo!!Sipendi ujinga wa kutangaza usiku na sielewi maana yake ni nini
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mambo mengi Uto wanatuigaga ila tunakuwa wasaulifu tu maana huwa wakituiga jambo tunaachana nalo. Embu tufukue makaburi tuangalie nani alianza mtindo huu.Sijui wameiga wapi hizi mambo!!
Kwa YangaSijui wameiga wapi hizi mambo!!
Hili la kutangaza usiku sio taratibu za Simba fc, taratibu za Simba ni kutangaza saa saba mchana, saa tisa mchana au saa kumi na mbili jioni. Yanga SC ndio wenye mambo ya kutangaza saa nne usiku, saa tano usiku, saa sita usiku. Sijui kipi kimewapendeza Simba FC nao kutangaza usiku mchezaji waoMambo mengi Uto wanatuigaga ila tunakuwa wasaulifu tu maana huwa wakituiga jambo tunaachana nalo. Embu tufukue makaburi tuangalie nani alianza mtindo huu.
Lakini faida za kutangaza usiku ni ili story itrend kesho yake kuanzia asubuhi.
Hilo ni kwa siku za hivi karibuni ila tuangalie haya mambo ya kusajili na kutangaza wachezaji kwa style hizi ulipoanza, Simba walikuwa wanatumia utaratibu gani.Hili la kutangaza usiku sio taratibu za Simba fc, taratibu za Simba ni kutangaza saa saba mchana, saa tisa mchana au saa kumi na mbili jioni. Yanga SC ndio wenye mambo ya kutangaza saa nne usiku, saa tano usiku, saa sita usiku. Sijui kipi kimewapendeza Simba FC nao kutangaza usiku mchezaji wao
Umemsahau eehhKelele nyingii!! Mwisho wa siku kumbe ni Shiza Kichuya!