utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17 Jan kwenye uwanja wa Benjamin mkapa.
Hatua iyo imekuja baada ya Simba S.C kuwa na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi hapo tarehe 15 Jan pambano litakalopigwa huko Dubai hivyo kuwafanya Simba washindwe kuwahi mchezo huo wa ligi.
Kwenu TFF mjiandae kupangua ratiba kwa maslahi mapana ya soka letu maana Simba anawakilisha nchi huko Dubai kwenye mechi za kirafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]