changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Anaishangaa Yanga kuomba kupumzika halafu wakati huo huo anashindwa kuishangaa timu yake ya Simba kuomba mechi isogezwe mbeleImeniambia maproo wa ulaya hawapumziki. "Mapro hawana mambo hayo ya kupumzika."
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Nitajie timu yoyote ulaya unayo ijua wewe ambayo iliunganisha mechi bila kupumzika hata siku nitajie hapa"
Pili schedule na ligi na CAF pamoja changamoto za usafiri zilingiliana na ndio maana timu baada ya kutua uwanja wa ndege ikaunga Mwanza.