Kwangu Mimi naona itakuwa Ni smart sana kwa Yanga Kama hiyo game itaahirishwa.....Yanga watapata advantage sana sababu Ni hizi hapa
1.Kama Yanga akishinda game ya ihefu Basi watakuwa mbele kwa point Tisa hapo presha inazidi kuongezeka kwenye michezo ya Simba
2.Ratiba utaanza kuwabana Simba michezo yao kuwa karibu karibu hivyo itatengeneza urahisi Simba kuchoka na kuweza kupoteza point
3.Itafika kipindi Simba wataomba wao wenyewe wamalize viporo vyao ili waweze ku equal game na Yanga maana Kama gap la point litakuwa kubwa utaanza kuingia woga Yanga atabeba ubingwa mapema sana............hapa utasikia zile kauli za ushindi wa Tigo pesa kutoka kwa wale mashabiki waliovishwa jezi za Yanga
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app