Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mbeya City wataingia uwanjani kama kawaida, hayo mengine mtamalizana huko na mdosi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warusi si hawaruhusiwi kucheza mechi zozote za fifa?Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17 Jan kwenye uwanja wa Benjamin mkapa.
Hatua iyo imekuja baada ya Simba S.C kuwa na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi hapo tarehe 15 Jan pambano litakalopigwa huko Dubai hivyo kuwafanya Simba washindwe kuwahi mchezo huo wa ligi.
Kwenu TFF mjiandae kupangua ratiba kwa maslahi mapana ya soka letu maana Simba anawakilisha nchi huko Dubai kwenye mechi za kirafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha chukiKama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Zinagonga mwamba kwasababu tumezoeshana ovyo. Huko ulaya wamewezaje?Yani hizo sheria unazozisema wewe kuna muda zinagonga mwamba amini na kwambia....
Kusema ukweli kunageuka kuwa ni chuki. SawaAcha chuki
Well said.Kama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Wameweza kwa kiasi chao ila kunawakati mambo yanakua magumu tu, sasa yani huko FwiFwa ndo kunauozo balaa....Zinagonga mwamba kwasababu tumezoeshana ovyo. Huko ulaya wamewezaje?
Ndio ukweli lbda CSKA ya buzaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi ya kiataifa ya Kirafiki.
CSKA na vilabu vya Russia vimekula BAN na Fifa . Ama hujui?
Hii timu inastahili kabisa kuitwa mbumbumbu fc!Kama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Kama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Hapana , FIFA haitambui mechi za timu za urussi kimataifa. Hilo tu, mengine sijacomment babaAcheni Wivu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mnawaonea Wivu kisa tu wanawakilisha nchi huko duniani kupitia mechi za kimataifa za kirafiki na timu zinazobuluza Mikia kwenye ligi za mataifa yao
Yaani mechi ya kirafiki ighairishe mechi ya ligi..!!!! Wakati wanaomba hiyo mechi ya kirafiki hawakujua kuwa wana mechi ya ligi??? AU MECHI YA KIRAFIKI IMEKUJA GHAFRA??Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17 Jan kwenye uwanja wa Benjamin mkapa.
Hatua iyo imekuja baada ya Simba S.C kuwa na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi hapo tarehe 15 Jan pambano litakalopigwa huko Dubai hivyo kuwafanya Simba washindwe kuwahi mchezo huo wa ligi.
Kwenu TFF mjiandae kupangua ratiba kwa maslahi mapana ya soka letu maana Simba anawakilisha nchi huko Dubai kwenye mechi za kirafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Washazoea Viporo, Yanga tumetoka Tunisia tukaunga mpaka Kaitaba,tukacheza na Kagera Sugar kwenye uwanja mbovu wenye matope hatukupumzika.Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17 Jan kwenye uwanja wa Benjamin mkapa.
Hatua iyo imekuja baada ya Simba S.C kuwa na mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi hapo tarehe 15 Jan pambano litakalopigwa huko Dubai hivyo kuwafanya Simba washindwe kuwahi mchezo huo wa ligi.
Kwenu TFF mjiandae kupangua ratiba kwa maslahi mapana ya soka letu maana Simba anawakilisha nchi huko Dubai kwenye mechi za kirafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba walienda Angola siku moja kabla ya mechi na wakashinda bila shida. Hata wakija tarehe 17 asubuhi bado wana uwezo wa kushinda mechiKlabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17 Jan kwenye uwanja wa Benjamin mkapa.