utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Kibongo bongo hakuna lisilowezekanaKama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
unanitukosea wanayanga pakubwa Sana kwani kinaharibika Nini uaze kuhara hivyoKama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Kweli binadam tumeumbwa kusahau busara za Tiefuefu ndo ziliruhusu timu fulani kwenye NBC PL kuvaa nembo ya mdhamini wanaemjua wao kwa maslahi mapana ya soka letu kivyetu vyetu... Sasa mi sioni dhambi kama watawaruhusu Simba kucheza mechi hiyo ya kirafika kwa maslahi mapana ya soka letu.Kama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Niliwadharau bodi ya ligi baada ya ligi baada ya kuiruhusu yanga kumsajiri kisinda na kumficha kambole huku yanga ikidanganya kambole amesajiliwa uganda. TFF hovyo kabisaKama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
bahasha (TAKRIMA)Niliwadharau bodi ya ligi baada ya ligi baada ya kuiruhusu yanga kumsajiri kisinda na kumficha kambole huku yanga ikidanganya kambole amesajiliwa uganda. TFF hovyo kabisa
Nasikia kombole aligeuzwa msukule akawa anakula unga tu avic townNiliwadharau bodi ya ligi baada ya ligi baada ya kuiruhusu yanga kumsajiri kisinda na kumficha kambole huku yanga ikidanganya kambole amesajiliwa uganda. TFF hovyo kabisa
Unauzoefu na mambo misukuleNasikia kombole aligeuzwa msukule akawa anakula unga tu avic town
Wewe ndio unawakosea wanayanga kwa kukosa akili ya kufikiria. Mechi ya ligi na ya kirafiki ni ipi yenye nguvu kughairishwa? Yaani kuwe na kiporo cha mechi kisa watu wameenda kuzurura Dubai. Kwanzia TFF, bodi ya ligi hadi uongozi wa Simba watakuwa hawajielewiunanitukosea wanayanga pakubwa Sana kwani kinaharibika Nini uaze kuhara hivyo
Mechi ya kiataifa ya Kirafiki.Klabu kongwe hapa nchini Simba S.C ipo mbioni kukiandikia barua chama cha soka nchini TFF ya kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa ligi ya Nbc dhidi ya Mbeya city uliopangwa kupigwa tarehe 17 Jan kwenye uwanja wa Benjamin mkapa...
Tuko pale tukingojea majibu ya TFF.Kama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Acheni Wivu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mnawaonea Wivu kisa tu wanawakilisha nchi huko duniani kupitia mechi za kimataifa za kirafiki na timu zinazobuluza Mikia kwenye ligi za mataifa yaoMechi ya kiataifa ya Kirafiki.
CSKA na vilabu vya Russia vimekula BAN na Fifa . Ama hujui?
Tunatangaza nchi kama Royal tour! tulia wewe! [emoji1787]Kama TFF watalibariki hili basi tutakuwa na chama na cha mpira na bodi ya ligi ya hovyo sana haijawahi tokea. Yaani mechi ya ligi kuu ihairishwe kwasababu ya mechi ya kirafiki, kwani wakati wanaenda Dubai hawakujua kama wana mechi ya ligi kuu tarehe 17? Au wamedharau kwavile wanawamudu TFF na bodi ya ligi.
Unaelewa nn neno hili ,fair katika michezo,Simba sio tu timu ni mdau wa TFF nchini ,ukiona wamefanya hivyo Simba ndo utaratibu uliopoWewe ndio unawakosea wanayanga kwa kukosa akili ya kufikiria. Mechi ya ligi na ya kirafiki ni ipi yenye nguvu kughairishwa? Yaani kuwe na kiporo cha mechi kisa watu wameenda kuzurura Dubai. Kwanzia TFF, bodi ya ligi hadi uongozi wa Simba watakuwa hawajielewi
Mpira hauongozwi na busara bali kanuni na sheria. Acheni kutetea mambo ya kijinga. Ulimwenguni kote ni taratibu, sheria na kanuni ndio unaotawala mchezo wa mpira wa miguu sio busara za mtu/ watu fulani.Kweli binadam tumeumbwa kusahau busara za Tiefuefu ndo ziliruhusu timu fulani kwenye NBC PL kuvaa nembo ya mdhamini wanaemjua wao kwa maslahi mapana ya soka letu kivyetu vyetu... Sasa mi sioni dhambi kama watawaruhusu Simba kucheza mechi hiyo ya kirafika kwa maslahi mapana ya soka letu.
Anza kwa kuniambia hilo neno linatumikaje kwenye mpira wa miguu, isije ikawa umekariri neno halafu haujui linatumikaje katika soccerUnaelewa nn neno hili ,fair katika michezo,Simba sio tu timu ni mdau wa TFF nchini ,ukiona wamefanya hivyo Simba ndo utaratibu uliopo
Yani hizo sheria unazozisema wewe kuna muda zinagonga mwamba amini na kwambia....Mpira hauongozwi na busara bali kanuni na sheria. Acheni kutetea mambo ya kijinga. Ulimwenguni kote ni taratibu, sheria na kanuni ndio unaotawala mchezo wa mpira wa miguu sio busara za mtu/ watu fulani.