Tetesi: Simba kuomba mechi yao ya ligi dhidi ya Mbeya city kuahirishwa

Mbeya City wataingia uwanjani kama kawaida, hayo mengine mtamalizana huko na mdosi.
 
Dubai - Dar es salaam ni safari ya saa 5 tu.

Ila lolote linaweza KUTOKEA.
 
Warusi si hawaruhusiwi kucheza mechi zozote za fifa?
 
Acha chuki
 
Simple tuu , watume Kikosi cha pili kicheze na mbeya city in case of emergency
 
TFF wanawabeba mmebanwa na Fei, ajabu mnahangaika na Simba SC, utopolo fans..
 
Well said.
 
Hii timu inastahili kabisa kuitwa mbumbumbu fc!

Ukiwauliza huko Dubai wameenda kufanya nini, hawawezi kukupa jibu sahihi. Zaidi watakutukana tu, na kukuambia eti 'una wivu'

TFF na Bodi ya Ligi, wakiahirisha hiyo mechi! Nitaamini na wenyewe wanafungamana na hao mbumbumbu kwa 100%
 

Tanzania football failure ndo nnacho jua mm
 
Kwangu Mimi naona itakuwa Ni smart sana kwa Yanga Kama hiyo game itaahirishwa.....Yanga watapata advantage sana sababu Ni hizi hapa
1.Kama Yanga akishinda game ya ihefu Basi watakuwa mbele kwa point Tisa hapo presha inazidi kuongezeka kwenye michezo ya Simba

2.Ratiba utaanza kuwabana Simba michezo yao kuwa karibu karibu hivyo itatengeneza urahisi Simba kuchoka na kuweza kupoteza point

3.Itafika kipindi Simba wataomba wao wenyewe wamalize viporo vyao ili waweze ku equal game na Yanga maana Kama gap la point litakuwa kubwa utaanza kuingia woga Yanga atabeba ubingwa mapema sana............hapa utasikia zile kauli za ushindi wa Tigo pesa kutoka kwa wale mashabiki waliovishwa jezi za Yanga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acheni Wivu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mnawaonea Wivu kisa tu wanawakilisha nchi huko duniani kupitia mechi za kimataifa za kirafiki na timu zinazobuluza Mikia kwenye ligi za mataifa yao
Hapana , FIFA haitambui mechi za timu za urussi kimataifa. Hilo tu, mengine sijacomment baba
 
Yaani mechi ya kirafiki ighairishe mechi ya ligi..!!!! Wakati wanaomba hiyo mechi ya kirafiki hawakujua kuwa wana mechi ya ligi??? AU MECHI YA KIRAFIKI IMEKUJA GHAFRA??
 
Washazoea Viporo, Yanga tumetoka Tunisia tukaunga mpaka Kaitaba,tukacheza na Kagera Sugar kwenye uwanja mbovu wenye matope hatukupumzika.
 
Simba walienda Angola siku moja kabla ya mechi na wakashinda bila shida. Hata wakija tarehe 17 asubuhi bado wana uwezo wa kushinda mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…