Tetesi: Simba kuomba mechi yao ya ligi dhidi ya Mbeya city kuahirishwa

Tifua tifua na bodi ya ligi kazi kwenu 😀
 
CSKA Moscow haitambuliwi FIFA, Russia wamefungiwa mpaka kwenye masuala ya soka.
 
Chanzo Cha habari hizi,tusizue taharuki kwa vilabu vingine na TFF

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wakibariki hili ntashangaa Sana,,ilihali Yanga aliomba mechi yake ipelekwe mbele kisa anacheza kimataifa lakini walikataa
 
Leta hiyo barua waliyaondika simba kwa tff,tuione wote
 
Washazoea Viporo, Yanga tumetoka Tunisia tukaunga mpaka Kaitaba,tukacheza na Kagera Sugar kwenye uwanja mbovu wenye matope hatukupumzika.
Jamaa Acha uongo basi hivi Ile mechi mlicheza kaitaba kweli?! Au kaitaba ipo mwanza?
 
Mwaka flani yanga ilibidi akacheze mtwara na ndanda na walikua wakabiziwe ubingwa wao ajabu wakaomba tff mechi ipigwe Taifa na ikawa ivyo
 
Jamaa Acha uongo basi hivi Ile mechi mlicheza kaitaba kweli?! Au kaitaba ipo mwanza?
Tuambie tulicheza wapi? Hataka kama tulicheza sehemu nyingine ila ninachokumbuka timu haikupumzika,ilichofanya kubdilisha ndege baada ya kufika uwanja wa mwaimu Nyerere wakachukua ndege nyingine na kesho yake wakacheza.
 
Kama walivyoruhusu manyani flani kumsajili Tusila Kwa kupindisha sheria
 
Niliwadharau bodi ya ligi baada ya ligi baada ya kuiruhusu yanga kumsajiri kisinda na kumficha kambole huku yanga ikidanganya kambole amesajiliwa uganda. TFF hovyo kabisa
Hata mie imenishangaza sana hii. Kwa mwendo huu Uganda watatuburuza sana katika soka
 
Tuambie tulicheza wapi? Hataka kama tulicheza sehemu nyingine ila ninachokumbuka timu haikupumzika,ilichofanya kubdilisha ndege baada ya kufika uwanja wa mwaimu Nyerere wakachukua ndege nyingine na kesho yake wakacheza.
Mlicheza kaitaba mwanza
 
Wafungamane mara ngapiiii shougaaa angu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna wamefungamama na utopoloo kumdhulumu haki yake Fei hujaona?? Kunywa majii mengii afu pumzikaaaa.

Poleeeee mwayaaaaaaa.
 
Waliongea na ndanda...so ilikuwa biashara hakuna ubaya mkuu kubaliana kumbuka mwwnyeji ndo mwenye last say.. nq kibongobongo hela ni tatizo Kwa timu ndogo
Ila tff ilibid wapinge sababu ata kule mtwara nako wangepewa medali zao na kutangazwa au utofaut ulikua wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…