Tetesi: Simba kuomba mechi yao ya ligi dhidi ya Mbeya city kuahirishwa

KMC na Ruvu hua zina hamisha mechi zao zina peleka mikoani hua hamulioni hilo
Kati ya yanga na ndanda Nani alikua mwenyeji na je mwenyeji ndie alihamisha mechi? aliehamisha mechi ni Nani mkuu? Kati Yao

Hao juu ruvu na kmc wanakua wenyeji ndio Wana hamisha au kuna mechi Simba Vs ruvu na ruvu akahamisha wakati yeye sio mwenyeji
Na mechi ni ya simba.
Ruvu na kmc huamisha sababu ya mapato dar fans wachache wanaenda uwanjani mkuu au visa ivyo hapo vinafanan uoni ni tofaut.

mkuu hapa ndio umechanganya kabisa
 
Mwaka flani yanga ilibidi akacheze mtwara na ndanda na walikua wakabiziwe ubingwa wao ajabu wakaomba tff mechi ipigwe Taifa na ikawa ivyo
Hawakuiomba tff acha kutudanganya waliwaomba ndanda ambao ndio walikuwa wenyeji wa mechi husika wautumie uwanja wa Dar es Salaam Kama uwanja wa nyumbani badala ya nangwanda sijaona ili Yanga aweze kusafiri kwenda kucheza game ya kimataifa nafikiri ilikuwa dhidi ya medeama ya Ghana ambapo kikanuni inaruhusiwa ndio maana baadhi huwa zinaamisha mechi zao kutoka viwanjwa wanavyovitumia kupeleka mikoani kinachotakiwa ni kutoa taarifa kwenye mamlaka ikimbukwe paka wakati huo Yanga teyari alishatwaa ubingwa wa ligi ndipo ndanda wakakubali wakahamishi game dar es Salaam wakawa wenyeji wao.
 
Acha uongo yanga walichokua wanataka ni kukabiziwa ubingwa wao Taifa na sio kigezo sijui cha mechi ya medeama akuna icho kama ni mech ya medeama akuna kilichokua kinazuia kucheza wangecheza Tu au tff kuweka kiporo si aikua na umuhimu iyo mechi walishachukua ubingwa sasa kwann lazima ichezwe na ratiba zina ingiliana?
 
huna akili huoni kwanza simba anaitangaza vizuri ligi yetu kimataifa huko??? CSKA MOSCOW inatazamwa na zaidi ya watu bilioni huko duniani. tumia akili wee chura
 
Mechi ilikuwa lazima ichezwe ndio kwa sababu ilikuwa ni mechi ya mwisho kufunga msimu lakini Yanga walikuwa na ratiba ya caf hivyo waliwaomba ndanda kuchele watumie dimba la mkapa Kama home ground mechi ichezwe ili wao usiku wa siku wale mwewe kusafiri kucheza game ya kimataifa.
 
huna akili huoni kwanza simba anaitangaza vizuri ligi yetu kimataifa huko??? CSKA MOSCOW inatazamwa na zaidi ya watu bilioni huko duniani. tumia akili wee chura
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC tangu muanze kuitangaza TZ mmeinufaisha TZ na kipi haswa?

Afu unatukana tukana tu kama vile huna familia, ebu kua kiakili basi wengine humu ni Babu zako na Baba zako.
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC tangu muanze kuitangaza TZ mmeinufaisha TZ na kipi haswa?

Afu unatukana tukana tu kama vile huna familia, ebu kua kiakili basi wengine humu ni Babu zako na Baba zako.
babu wa wanioko
 
Kwahio logic yako ni ipi!? Ndanda hawakutakiwa kuhamisha mechi yao kuileta dar?
 
Mechi imeshasogezwa mbele hadi tarehe 18, soka letu kivyetu vyetu
 
Yanga waliomba kusogezwa mbele mechi yao dhidi ya Kagera sugar, walivyokuwa Tunisia kutokana na ufinyu wa muda lakini bodi ya ligi na TFF walikataa ila cha ajabu timu imeenda kutembea Dubai wameomba kusogezwa mbele mechi yao ya Mbeya city wamekubaliwa.
 
Washabariki tayari
 
Washabariki tayari
Ndio soka letu lilijaa ujinga mwingi wa usimba na uyanga. Lakini hapo hapo wanasahau kuwa Yanga walikataliwa kusogezewa mechi walivyokuwa Tunisia kwenye mechi muhimu ya kimashindano
 
Point nzuri na ya kuzingatia.
 
Tuambie tulicheza wapi? Hataka kama tulicheza sehemu nyingine ila ninachokumbuka timu haikupumzika,ilichofanya kubdilisha ndege baada ya kufika uwanja wa mwaimu Nyerere wakachukua ndege nyingine na kesho yake wakacheza.
Pressure mnazojiwekea wenyewe za unbeaten ndiyo zinawasumbua. Mlichukua siku ngapi kutoka Tunisia hadi kufika Dar?

Sijui huu uchovu mnaosema kwa wachezaji wetu unatoka wapi? Mbappe amemaliza tu World Cup, siku tatu tu amerudi kwenye training. Mapro hawana mambo hayo ya kupumzika.
 
Ulichoongea unakielewa kweli? Kama hakuna mambo ya kupumzikia kwanini timu yako ya Simba wameomba kupumzika na TFF kuwakubalia?
 
Pressure tulijiwekea wenyewe kwani ratiba tulipanga sisi?

Sasa Mbape alikuwa na siku tatu za kupumzika,Yanga walikuwa na siku ngapi za kupumzika?

Nitajie timu yoyote ulaya unayo ijua wewe ambayo iliunganisha mechi bila kupumzika hata siku nitajie hapa?
 
Kwani nyie mlipangwa mcheze kesho yake baada ya game la Tunisia? Niambie mlipewa siku ngapi?
 
Kwani nyie mlipangwa mcheze kesho yake baada ya game la Tunisia? Niambie mlipewa siku ngapi?
Imeniambia maproo wa ulaya hawapumziki. "Mapro hawana mambo hayo ya kupumzika."

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
"Nitajie timu yoyote ulaya unayo ijua wewe ambayo iliunganisha mechi bila kupumzika hata siku nitajie hapa"

Pili schedule na ligi na CAF pamoja changamoto za usafiri zilingiliana na ndio maana timu baada ya kutua uwanja wa ndege ikaunga Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…