Anaishangaa Yanga kuomba kupumzika halafu wakati huo huo anashindwa kuishangaa timu yake ya Simba kuomba mechi isogezwe mbeleImeniambia maproo wa ulaya hawapumziki. "Mapro hawana mambo hayo ya kupumzika."
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Nitajie timu yoyote ulaya unayo ijua wewe ambayo iliunganisha mechi bila kupumzika hata siku nitajie hapa"
Pili schedule na ligi na CAF pamoja changamoto za usafiri zilingiliana na ndio maana timu baada ya kutua uwanja wa ndege ikaunga Mwanza.
Hamna schedule iliyoingiliana mlilikoroga wenyewe. Nimekuuliza nipe ratiba ya kati ya game ya Tunisia na Kagera Sugar zilikuwa zinapita siku ngapi?Imeniambia maproo wa ulaya hawapumziki. "Mapro hawana mambo hayo ya kupumzika."
ππππ
"Nitajie timu yoyote ulaya unayo ijua wewe ambayo iliunganisha mechi bila kupumzika hata siku nitajie hapa"
Pili schedule na ligi na CAF pamoja changamoto za usafiri zilingiliana na ndio maana timu baada ya kutua uwanja wa ndege ikaunga Mwanza.
Hakuna uthibitisho wowote wa Simba kuomba game isogezwe mbele na hata kama wanahusika, siyo kwa sababu wanataka wapumzike.Anaishangaa Yanga kuomba kupumzika halafu wakati huo huo anashindwa kuishangaa timu yake ya Simba kuomba mechi isogezwe mbele
Ndugu yangu wewe shida yako ni moja tu. Unataka kushindana na kauli ya ALHAJ Ismail Aden.Ulichoongea unakielewa kweli? Kama hakuna mambo ya kupumzikia kwanini timu yako ya Simba wameomba kupumzika na TFF kuwakubalia?
Tulilikoroga wenyewe HOW?Wakati tokea msafara wa Yanga unaanza kutoka Tunisia Azam Media watangazaji wao walikuwa wana report au ndio USHABIKI kisa sio Yanga?Hamna schedule iliyoingiliana mlilikoroga wenyewe. Nimekuuliza nipe ratiba ya kati ya game ya Tunisia na Kagera Sugar zilikuwa zinapita siku ngapi?
Hiyo kuunganisha ndege siyo jambo la ajabu, mbona Tunisia huko mliungaunga ndege.